KUMBUKUMBU YA BI KHADIJA (AS)

 

DSC00195

Dada Maysara Ali, akizungumza katika kituo cha Khadijatul Kubra-Mbande. Dar es salaam

Katika maadhimisho ya kukumbuka kifo cha Mke wa kwanza wa Bwana mtume (s.a.w.w) na mama wa waumini, na mmoja wa wanawake wanne  watukufu duniani Bi Khadija bint khuwaylid (as), Wanaharakati wanawake wa hawzat imam swadiq jana tarehe 10 Ramadhan ,waliwatembelea wanawake wenzao wa  MbandeDares salaam, kwa ajili ya kueneza mafunzo aliyotuachia bibi huyo mtukufu.

DSC00140

Dada Nyembezi Mbano, akizungumza na wakinamama wa madrasat Zahraa Faundation-Mbande, Dar es salaam.

Akizungumza na wanawake  katika kituo cha Zahraa foundation, Dada Nyembezi  Mbano, alisema: Bi khadija (as) alikua ni mwanamke aliyejitolea mali yake kwa ajili ya uislaam, “uislaam umeenea  kwa mambo matatu: Tabia tukufu za mtume (s.a.w.w), mali ya bi khadija na upanga wa Alii bin Abii Twalib (as).”

Naye Dada Maysara  Alii ,akizungumza na  wamama wa kituo cha imam sawdiq , madras at Khadijatu kubraa, kilichopo mbande kwa Sheikh Kwezi, kuyashika mafunzo ya bi khadija (as).alisema “ Bi khadija alikua mwanamke shujaa,mbali ya kua ni mke wa mtukufu mtume (as)alijitolea mali zake kwa ajili ya uislaam mpaka akafilisika,alijitolea nafsi yake kwa ajili ya kumlinda mtume (s.a.w.w)licha ya kutukanwa na maquraish,pia alikua ni mlezi na mfariji kwa mtume kutokana na matatizo aliyokumbana nayo nje katika daawa yake.

DSC00221

wanaharakati na wakinamama wa kituo cha Khadijatul kubraa-Mbande Dar es salaam.

Hivyo aliwataka kinamama kuyachukua mafunzo hayo na kuyafanyia kazi,wawe wafariji kwa waume zao ili kuwapa ushirikiano katika mambo ya kheri ili waweze kufanya vizuri katika mambo ya dini na dunia.

Kifo cha bi khadija (as) kilitokea tarehe 10 Ramadhan, mwaka wa kumi wa tangu mtume kupewa utume na  mtume (s.a.w.w) kuuita mwaka huo kuwa ni mwaka wa Huzuni kwa kuondokewa na walinzi wake na wasaidizi wake  Ammi yake Bw Abuu Twalib, na mkewe Bi Khadija (as).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 27, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: