PALESTINA NI NEMBO YA UMOJA KWA WANADAM

Tarehe 28/06/2014

wpid-img-20150628-wa0065.jpgAkizungumza katika semina ya siku moja ya siku ya qudsi(kukumbuka madhila na shida wanayoipata wapalestina),Maulana sheikh Hemedi Jalala alisema,madhila wanayoyapata  ni  nayapata wanadam wote wapenda hakki, na amani na utulivu watakaoupata utasambaa kwa waislaam na wakristo. “lau dhulma isingetokea palestina, kusingekua na machafuko mashariki ya kati,palestina ndio shina la umoja, lau utulivu ungepatikana waislaam na wakristo wangekwenda kuhiji kwa amani, kwa kua Nabii Isa (as) alizaliwa pale, na Mtume Muhammad (s.a.w.w) alifika baitul muqaddas katika safari yake ya Miiraji na kuwaswalisha mitume wote pale, na ndio kibla cha kwanza kwa waislaam.(ni sehem ina yowaunganisha)

Alisema imam khomein aliliona hilo, ndio maana akaanzisha siku ya qudsi, kwa ajili ya ukombozi wa palestina, falsafa ya Imam khomein ilikua ni kuwaleta waislaam na wasiokua waislaam pamoja, kuyajua madhila wanayopata wapalestina na kuandaa mbinu za kuwakomboa.

wpid-img-20150628-wa0062.jpgAkizungumzia Kwanini qudsi? Tusizungumzie mauaji yanayotokea kwengine, maulana alisema dhulma ni jambo baya, dhulma, mauaji kote duniani yanatokea, lakini dhulma wanayopata wapalestina ni dhulma isio na kifani.

  1. kunyang’anywa ardhi na nchi yao nakuonekana wakimbizi katika nchi yao ya asili,kasha kupelekwa wageni kutoka nhi mbali mbali, Ethiopia, Uganda, Pakistan nakuwekwa pale, nakufanywa ndio nchi yao ni dhulma kubwa.
  2. Taasisi za umoja wa mataifa na zinazotetea haki za binaadam, vyombo vya habari kutolizungumzia suala hili na kutokuliona na kutolisemea hilo na kuukubali uvamizi huo.

Akifafanua Kwanini dhulma hii inatendeka pale? Alisema Kwasababu mashariki ya kati inawaunganisha waislaam na wakristo,”waislaam na wakristo tunaamini kuja kwa Muokozi kuja kuukomboa ulimwengu huu uliojaa dhulma na ukandamizaji, waislaam wote wanaamini kuja kwa Imam Mahdi (as) na kuja kwa Nabii Issa (as) , na wakristo wanaaamini kuja kwa Yesu. Watakapodhihiri ni pale palestina baitul muqaddas, adui anatambua, kwa hili waislaam na wakristo wataungana na wakiachiwa kuungana watakua na nguvu, hivyo ili kuzidhoofisha nguvu hizo ni kuwawekea vibaraka pale kuwashughulisha, kuwagombanisha, kuwapiga vita ili wasiwe na umoja.

wpid-img-20150628-wa0061.jpgMaulana alimalizia khutba yake kwa  kuelezea  Wajibu wetu  kama viongozi wa dini na maimam katika suala la QUDSI,”  alisema :wajibu wetu viongozi wa dini na maimam, nikuwaeleza watu Qudsi ninini? kuizungumza dhulma hii katika misikiti yetu na kwaumini wetuna kutoinyamazia,kunyamaza ni kuunga mkono dhulma hii kuendelea,  na mtume (s.a.w.w) amesema: mtu asie tilia umuhimu mambo wanayowapata waislaam wenzie, sikatika waislaam. Kuwaambia watu wote duniani kua palestina si nchi ya waisraeli,bali wameivamia na kwamba wawaachie wenye nchi yao wapalestina. Matatizo ya wapalestina  waambiwe na wasomeshe watoto wetu na yabakie katika vichwa vyao, ili hii dhulma waweze kuja kuipinga kokote pale itakapojitokeza.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 29, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: