SHEIKH JALALA AONGEA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA.

Mawlana Sheikh Hemed Jalala, leo amefanya kikao na waandishi wa habari katika ukumbi wa HABARI MAELEZO leo 14/7/2015
Akizungumza na waandishi wa habari, Maulana Sheikh Hemed Jalala ambae pia ni kiongozi wa Hawzat Imam Swadiq (a.s) alisema kuwa #SIKU YA #QUDS ni siku ya wapenda amani duniani kupaza sauti zao dhidi ya dhulma wanazofanyiwa kwani kupinga dhuluma na ukandamizaji ni mafunzo ya dini zote za mbinguni.
Maulana Sheikh Hemed Jalala aliendelea na kusema kuwa Palestina ni ardhi ambayo ni ya asili ya dini zote, hivyo kuitetea palestina ni kulinda heshma ya dini zote za mbinguni na mafundisho ya mitume wote katika kuwatetea wanyonge dhidi ya wanaodhulmu na wakandamizaji.
Alisema “SIKU YA QUDS kwetu Tanzania ni siku ya kuenzi, kulinda na kuhubiri amani katika Taifa letu huku tukiwaombea Wapalestina pia wawe na amani na utulivu katika nchi yao kama vile ilivyo hapa kwetu.”
Maulana sheikh Hemed Jalala aliongeza na kusema muasisi wa taifa la Tanzania hayati Mwl. Julius Nyerere na kiongozi wa Afrika ya kusini hayati Nelson Mandela kwa pamoja ni miongoni mwa viongozi walioonesha dhamira ya dhati katika kuwatetea wapalestina, hivyo kuwataka wa Tanzania kuungana pamoja pasina kujali itikadi na rangi zao kuunga mkono juhudi za wapalestina katika kudai ardhi yao kwani kufanya hivyo ni ubinadamu na hili halizingatii imani kwani hata kanisa alilozaliwa Yesu likivamiwa basi sisi sote pasina kujali imani na dini zetu tutaungana pamoja kupinga uvamizi huo.
Sheikh aliwataka waandishi wa habari wawe mabalozi wazuri juu ya kulizungumzia  jambo hili lifahamike vizuri na kuwaepusha watu na propaganda juu ya uelewa finyu wa suala hili.
Mwisho Sheikh Hemed Jalala aliwataka wa Tanzania kuwa watulivu na kuienzi amani ya taifa letu hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu ujao na pia watakaoshindwa wakubali matokeo na watakaoshika dhamana ya nchi wafanye kazi kwa uadilifu ili Tanzania iendelee kuwa kisiwa cha Amani duniani.

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 14, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: