MATENDO SITA (6) YA IBADA SIKU YA IDDI

download4

  1. KUSOMA TAKBIRA:

    Soma takbira ifuatayo baada ya Swala ya Asubuhi na Baada ya Swala ya Iddi

اللهُ أكْبَرُ اللهُ أكْبَرُ لا إلـهَ إلاّ اللهُ وَاللهُ أكْبَرُ،اللهُ أكْبَرُ وَللهِ الْحَمْدُ، الْحَمْدُ للهِ عَلى ما هَدانا وَلَهُ الشُّكْرُ على ما أوْلانا

“ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR LAA ILAAHA ILLALLAAH WALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR WA LILLAAHIL H’AMDUL H’AMDU LILLAAH A’LAA MAA HADAA NAA WA LAHUSH SHUKRU A’LAA MAA AWLAAANAA.

(Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Hakuna Mola ila Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. sifa (zote) za Mwenyezi Mungu kwa sababu yeye ametuonesha njia ya haki. (Sisi) na shukrani ni zake kumshukuru kwa sababu yeye ametulinda ya sisi na kinasimamia maslahi yetu.)

  1. KUTOA ZAKAAT AL-FITRA,

Zakat A-fitra ni kilo 3 ya vyakula vinavyoliwa kwa kawaida na mtu nyumbani na ni bora kutoa kabla ya Sala ya Iddi. Huu ni wajibu ulio sisitizwa. Kutoa Zakatul Fitr ni njia ya kukubaliwa Ibada ya funga zetu wakati wa mwezi wa Ramadhani na pia ni ulinzi dhidi ya kifo.

  1. KUOGA: Soma dua ifuatayo kabla ya kuoga

اللهُمَّ إيماناً بِكَ وَتَصْديقاً بِكِتابِكَ، وَاتّباعَ سُنَّةِ نَبيِّكَ مُحَمَّد صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ

ALLAHUMMA EMANAN BIKA WA TASDEDAN BIKITABIKA WATTIBA`A SUNNATI NABIYYIKA MUHAMMADIN SALLA ALLAHU `LAYHI WA ALIHI

O Allah, Imani yangu kwako, nasidikisha kikamilifu Kitabu chako, na kufuata kikamilifu njia ya maisha Mtume wako Muhammad, baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na juu ya watoto wake,

Kisha sema Bismilllah… na uanze kuoga, na baada ya kumaliza kuoga soma dua hii:

اللهُمَّ اجْعَلْهُ كَفّارَةً لِذُنُوبي وَطَهِّرْ ديني،اللهُمَّ أذْهِبْ عَنِّي الدَّنَسَ

ALLAHUMMA IJ`ALHU KAFFARATTAN LIDHUNUBE WA TAHHIR DENE ALLAHUMMA ADH-HIB `ANNIYA ALDDANASA

O Allah jaalia kwa (Maji hayo) iwe kafara kwa Madhambi yangu na Uitoharishe dini yangu O Allah Niondoshee uchafu kutoka kwangu.

  1. SWALI SWALA YA IDD AL-FITR

  2. SOMA ZIYARA YA IMAM HUSSEIN (A.S.)

  3. SOMA DUA NUDBAH.

Sayyid Ibn Tawus ameelekeza na kusema: baada ya kumaliza kusoma Dua Nudbah Mtu Asujudi na asome dua ifuatayo:

أَعُوذُ بِكَ مِنْ نَارٍ حَرّهَا لا يُطْفأُ وَجَدِيدُهَا لا يَبْلَى وَعَطْشَانُهَا لا يُرْوَى.

A`UDHU BIKA MIN NARIN HARRUHA LA YUTFA’U WA JADEDUHA LA YABLA WA `ATSHANUHA LA YURWA

Najikinga kwako na Moto ambao moto Miale ya moto huo hawapati kuzimwa au kupungua Makali, ambao nguvu ya ukali wake haupungui, ndani yake nyoyo zenye kiu hazitaisha kiu yake

Kisha aweka shavu la kulia juu ya ardhi na kusema yafuatayo:

إِلهِي لا تُقَلّبْ وَجْهِي فِي النَّارِ بَعْدَ سُجُودِي وَتَعْفِيرِي لَكَ بِغَيْرِ مَنّ مِنّي عَلَيْكَ بَلْ لَكَ الْمَنّ عَلَيّ

ILAHE LA TUQALLIB WAJHIYA FINNARI BA`DA SUJUDE WA TA`FERE LAKA BIGHAYRI MANNIN MINNE `ALAYKA BAL LAKA ALMANNU `ALAYYA

O Allah usinitupe katika moto kwa kutanguliza kichwa change baada ya mimi kuwa nasujudu katika kuabudu mbele zako, na nikiutupa mwenyewe mwili wangu ardhini kwa wanyenyekevu mbele zako; siyo kujionesha kwangu kwako lakini ni kwa kutafuta huruma (yako) na wema ulionijaalia juu yangu.

Unaweza kisha kuweka shavu la kushoto juu ya ardhi na kusema yafuatayo:

ارْحَمْ مَنْ أَسَاءَ وَاقْتَرَفَ وَاسْتَكَانَ وَاعْتَرَفَ

IRHAM MAN ASA’A WAQTARAFA WASTAKANA WA`TARAFA

Mhurumie yule ambaye amekosea na kupetuka mipaka wakakosa lakini sasa amedhalilika mwenye kukiri kwako kupokea msamaha.

Unaweza kisha kurudi kusujudu na kusoma dua ifuatayo:

إِنْ كُنْتُ بِئْسَ الْعَبْدُ فَأَنْتَ نِعْمَ الرّبّ، عَظُمَ الذّنْبُ مِنْ عَبْدِكَ فَلْيَحْسُنِ الْعَفْوُ مِنْ عِنْدِكَ يَا كَرِيمُ

IN KUNTU BI’SA AL`ABDU FA ANTA NI`MA ALRRABBU `AZUMA ALDHDHANBU MIN `ABDIKA FALYAHSUN AL`AFWA MIN `INDIKA YA KAREMU

Mimi ni mja mwenye makosa mengi Nihurumie makosa yangu kwani wewe ni Mwingi wa kusamehe Makosa Makosa mengi yamefanywa na mja wako. Lakini Eh Mwenye Kurehemu kutoka kwako Hurama yako tunategemea.

kisha rudia mara mia moja kusema:

اَلْعَفْوَ، اَلْعَفْوَ

AL`AFWA AL`AFWA

(Nakuomba ) msamaha; (Nakuomba) msamaha.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 17, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: