NA IWE NI SIKUKU NJEMA NA IDI YENYE BARAKA KWAKO

download1

“Ewe Mwenyezi Mungu Tubariki katika siku ya Iddi yetu na kufugua kwetu Swaumu ifanye siku hii iwe siku bora iliyopita kwetu” (Dua ya Imamu Zainul Abedeen (as) – Sahifa Al-Sajjadiyya)

Iddi ni neno la Kiarabu lilitokana na  neno mzizi  a-w-d. Kilunga linamaana tukio la mara kwa mara. Katika Uislamu inaashiria sherehe ya Uislamu. Neno Iddi limetokea katika katika Qur’an mara moja likimaanisha tukio la furaha la mara kwa mara.

(Akasema Isa bin Maryamu: Ewe Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wetu! Tuteremshia chakula kutoka mbinguni ili kiwe Sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe ni Ishara itokayo kwako. Basi turuzuku, kwani  Wewe ndiye mbora wa wanao ruzuku) Qur’an- Suratul Maida 5:114

Historia ya binadamu imekuwa ikitambua uwepo wa sherehe za sikuku kutoka siku za mwanzo wa mwanadamu duniani. Mwanaadmu amekuwa akisherehekea sikukuu tangu wakati mwanzo kwabisa alipoyafamu maisha ya jumuiya. Wamisri wa kale walikuwa wakiipa jina sikukuu kuwa siku ya pambo. Ilikuwa ni wakati wa moja ya matamasha hayo pale Mtume Musa (as) alipowashinda waganga. (Qur’an – Suratu Taha 20: 57-59).

Imamu Ali (as) amesema kuwa Iddi ni siku ya furaha kwa wale ambao walifunga na na Swala zao  zimekukubalika kwa Mwenyezi Mungu. Yeye pia alisema kuwa Iddi ni siku ambayo ya watu ambao hawakufanya Madhambi.

Mwisho wa Ramadhani kwa mara nyingine tena hufikia kwa kuonekana mwezi mpya. Iddi al-Fitr ni sikukuu inayohitimisha Mwezi wa Ramadhan. Sikuku hii ni wakati wa kusherehekea kukamilika wajibu muhimu wa kufunga kwa mafanikio.

Iddi-el- Fitr  inajumuisha ibada ya sala kwa kawaida ibada hii huanza muda mfupi baada ya jua kuchomoza. Wanaume na wanawake huhudhuria sala ya Iddi ambayo kawaida huswaliwa katika misikiti au katika eneo la wazi ambapo waumini hutoleana Salamu za Iddi Mubarak na kupeana Mkono wa Fanaka  kwa Kusema “Iddi Mubarak” ikimaanisha kuwa na furaha na heri ya Iddi” Baada ya sala, Watu hutembeleana  ndugu jamaa na marafiki. Tafrija za Vyakula vitamu Maalum na mlo maalum huwa tayari kuliwa kwa pamoja.

Na pia waumini hutoa  Zakatul Fitri kwa masikini. Zakat Fitri ni fedha ambazo kila Muislamu anatoa kumpa maskini na ni sawa na jumla ya gharama ya chakula kwa ajili ya mabwana zao Kama ni watumwa ili waachwe huru, wao kusaidiwa watumwa wengine kuwa huru.

Waislamu siku hii huwa na furaha na huzuni pamoja.

Huwa na furaha kwa mafanikio ya kumaliza kukamilisha kipindi hiki ni huzuni kwa sababu, Mwezi Ramadhan iliyojaa Baraka, huruma na wema kwa ajili yao umemalizika na wanapaswa kusubiri mpaka mwaka mwingine ujao.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 17, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: