Zakat Al-fitra ni nini?

lvl120150716032412Zakat Al-fitra ni nini?

Sadaka inayotolewa kupewa maskini mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Ni kwa niaba ya nani zakat al-fitra inatolewa:

Mtu lazima atoe Zakat Al-fitra kwa niaba yake mwenyewe, na kwa niaba ya kila mmoja anayemhudumia kama vile mke na watoto wake.

Kiasi gani hutolewa?

Zaka al-fitra ni kilo tatu za chakula.

Zakat Al-fitra inajumuisha vitu gani?

Zakat Al-fitra inaweza kuwa ama ngano, Shayiri, Tende, Zabibu, Mahindi, Mchele na Vyakula mfano wake. Inatosha kutoa thamani ya fedha kwa moja ya vitu hivi.

Kama mtu ni mgeni wa mtu mwingine usiku kabla ya Iddi al-Fitr na yeye (mgeni) akalala nyumbani kwake basi mwenye nyumba anapaswa kulipa zaka al-fitra kwa niaba ya mgeni wake.

Nani hupewa Zakat Al-fitra:

kipaumbele ni zaka al-fitra hupewa kwa watu maskini wenye dini katika eneo analoishi mtoaji.

Ni haramu kwa mtu ambaye ni Hashemite (Ukoo wa Mtume) kuchukua zaka al-fitra kutoka kwa mtu ambaye si Hashemite (Ukoo wa Mtume).

Ni nani ambae anapaswa kulipa zaka al-fitra?

  • Yule amefikia umri wa kisheria kutimiza majukumu ya kidini
  • Yule ambaye ni huru na si Mtumwa
  • Yule ambaye ana uwezo wa kulipia
  • Masharti ya Mtoaji Zakat Al-fitra?

Ili kulipa zaka al-fitra, mtu lazima kutimiza masharti hayo katika usiku wa kuamkia Iddi Al-fitra

Wakati gani wa Kutoa Zakat Al-Fitra?

Kuna baadhi ya nyakati/ kipindi ambazo lazima kulipa zaka al-fitra: Kutoka kuzama jua (jioni) siku ya mwisho wa Ramadhan mpaka Zawal (muda kwa ajili ya sala ya Mchana-Dhuhr) ya siku ya Iddi.Kama mtu anataka kuswali swala ya Iddi, kama tahadhari ni wajibu atoe zaka al-fitra kabla Iddi Sala.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 17, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: