UMUHIMU WA MALEZI KWA WATOTO

UMUHIMU WA MALEZI KWA WATOTO

DSC02340

Sammahat:Sheikh Ghawthy Salim

Akitoa khutba ya swala ya ijumaa katika masjid Ghadiir- kigogo Post, Sammahat Sheikh Ghawthy Salim alisema , ili mtoto  awe mwema ni lazima aandaliwe kimaadili na kitabia,

Sammahat Sheikh Ghawthy , akiinukuu aya ya mwenyezi Mungu  iliyo katika surat  Banii Israia 17: 23 “amehukumu Mola wako kwamba asiabudiwe yeyote ispokua yeye pekee na wazazi wawili wafanyiwe wema…”  mafunzo yanayopatikana  katika aya hiyo ni 1: jukumu la kwanza kwa wazazi ni kuwafundisha watoto wao kumjua muumba wao ili watimize hakki yao ya msingi ya kumwabudu,2: malezi ya watoto ili kuja kuwaheshimu wazazi wao.”huwezi kumtaka mtoto aje akuheshimu wakati wewe mzazi hukumfunza hizo heshima na maadili na tabia”.

Akilitia umuhimu suala la malezi, Sammahat Sheikh alisema:Malezi ya mtoto yanaanza  kwa kuchagua mke bora , ambae atakuja kua mweza wako katika malezi, kosa utakalolifanya katika kuchagua litakuja kukugharimu katika malezi ya mtoto wako. Sheikh aliisikitikia   tabia ya baadhi ya vijana wa sasa kutofuata mafundisho ya uislaam katika suala zima la uchaguzi, nakusema hatari hiyo itawagharimu katika malezi,” kijana anakutana na msichana shuleni, anavutiwa na sura yake, kisha wanaoana, hata watu wazazi  wake hawajui, yanpotokea matatizo anaona  aibu kuwaeleza wazazi wake ili awasuluhishe,”  “mara nyingi mtu anakua na tabia mbili  za ndani na za nje, ile ya ndani anaidhihirisha anapokua peke yake na ile ya nje anitoa anapokua na wenzake, mnamuona kua ni mwema , mcheshi,anaswali sana, mkarimu , lakini akiwa peke yake ni tofauti, ndipo pale mnapokua wawili ndani anaidhihirirsha ile tabia yake ya asili na unamuona kua yupo tofauti”

DSC02344Aliwataka wazazi kutilia umuhimu  malezi,  kwani mtoto anakua kafiri si kwakuzaliwa  nao,au ndio maumbile yake aliyoumbiwa na Mungu, laa, bali alizaliwa akiwa katika umbile la kiislaam, wazazi wao ndio watakaowabadilisha kitabia, akitolea mfano katika hilo, Sammahat Sheikh alisema: Tanzania tumezoea kuchinja ng’ombe na kuwala, nenda India ,kule ng’ombe ni Mungu wao,huwezi kumchinja, hayo ni mazoea , tabia aliyiokuta  na akakulia nayo, kwa hiyo malezi ya wazazi  ndio yatakayomuathiri mtoto baadae baadae.

Mwisho  Sammahat Sheikh, aliwaasa vijana kuwa na tabia ya kuchagua wachumba pindi wanapotaka kuoa na kujiepusha nawasichana  wanaowaona barabarani, Mtume  (s.a.w.w) amesema : chagueni mahala pa kuweka mbegu zenu kwa kufanya utafiti kwa wajomba zao.” Pia  Mtume  alisema :jihadharini na wanawake wazuri waliotoka katika malezi mabaya.”

Aliwataka waumini na vijana kwa ujumla, kuufanyia  kazi  wosia wa mtume (s.a.w.w) ili kuja kuijenga  familia itakayoleleka kimaadili kwa mujibu wa uislaam unavyotaka.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 31, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: