KUAMRISHA MEME NA KUKATAZA MAOVU NDIO UTI WA MGONGO WA DINI

KUAMRISHA MEME NA KUKATAZA  MAOVU NDIO  UTI WA MGONGO WA DINI

DSC02542

Sammahat Sheikh, Muhammad Abdi, Naibu                         mudiir hawzat imam swadiq

Akihutubia  Katika   ijumaa leo  tarehe 14/8/2015, katika masjid Ghadiir- kigogo post- Dar es alaam, Sammahat Sheikh Muhammad Abdi amaesema,mwenyezi mungu  amelitilia msisitizo suala hili la kuamrisha mema na kukataza maovu,kua ndio uti wa mgongo wa dini, kwani katika jamii yeyote maovu yakitendeka na watu wakiyanyamazia  jamii hiyo itafeli na kuangamia.

Akinukuu aya katika surat  al Imran 3: 104:  mwenyezi mungu alisema : “ lipatikane kundi linalolingania watu katika mambo mazuri na kukatazana mambo maovu,…,”  aliendelea kusema kua suala la kuamrisha mema na kukataza maovu ni suala la kila zama na kila jamii, akitolea mfano kwa Nabii Shuaib as, alisema: Nabii Shuaib aliambiwa na mwenyezi mungu kua, Mungu atawaangamiza  watu wema  60, na watu waovu 40, watu wema wataadhibiwa kwa sababu  walikua wakicheza na kushirikiana na watu waovu na kutokuwaamrisha na kuwakataza maovu waliokua wakiyafanya.

Alisema:  inashangaza kuona katika jamii yetu, majumbani mwetu, kuyaona maovu na kuyaacha kutoyakemea, “mtoto anafanya kosa ndani ya nyumba, mzazi anamuogopa mtoto kumkemea eti kwa sababu ya kuogopa kukosa shilingi mbili , au kukosa tonge analompa, inasikitisha sana , badala ya kumuogopa mungu anayegawa rizki, unamuogopa mtotohuogopi adhabu kwa mungu wako”?alihoji

DSC02552

             baadhi ya waumini

Nilazima viongozi wa dini, wa familia,kisiasa wanajukumu kubwa la kukataza movu, sisi kama wasimamizi tunapoona mambo machafu ni lazima kuyakemea hata kwa kiongozi muovu.

Akitolea mfano wa Imam Husein (as) alivyokabiliana na kiongozi muovu Yazidi bin Muawia,na vile vile Imam khomein r.a,katika wakati wake alipokabiliana na kiongozi muovu kwa wakati wake Shah, aliwaasa watu kutokuogopa kuacha kukemea maovu kwani ndio uhai wa jamii.

Mwisho Sammahat Sheikh alitaja misingi na masharti ya kuamrisha  mema nakukataza maovu, kua, ili kuamrisha mema  kuwe na athari kwa watu na jamii  lazima anaeamrisha awe 1: anayajua maovu yenyewe, 2: kuyafanyia kazi yale unayoamrisha, 3:kufata njia  nzuri/ hekima.

Mwisho Sammahat Sheikh aliwaasa waumini, viongozi kwa ujmla , kuendelea kuamrisha mema na kukataza mouvu, kufanya hivyo ndio tutasalimika  na mabalaa.DSC02542

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 14, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: