UISLAAM UTASHINDA

DSC02542

Sammahat Sheikh Muhammad Abdi

Akitoa khutba ya ijumaa katika masjid Ghadiir kigogo post leo, Sammahat Sheikh Muhammad Abdi, alizungumzia lengo la kuletwa mitume, alinukuu, aya ya Mwenyezi Mungu iliyo katika surat Swaffi 61-9  : inayosema  “yeye ndie ambae aliempeleka mtume wake kwa ubainifu na kwa dini ya kweli, ili ishinde dini zingine, japo makafiri watachukia, alisema  ili binaadam afikie ukamilifu ni lazima aongozwe , na Mungu alilijua hilo ndio maana akawaleta mitume ili wamuongoze bina adam.akifafanua nukta zilizo katika aya hiyo alisema

1: jambo la kuletwa mitume halipo katika mamlaka ya watu, ni Mungu mwenyewe ndie anaewachagulia watu kiongozi atae wafikisha katika hilo lengo.

2:mungu ndie alie mtuma mtume wake Muhammad (s.a.w.w) kwa ajili ya kuwaongoza watu kutoka  katika upotevu na kuwapeleka katika nuru.

3: Dini ya hakki, ni dini ya uislaam, “akifafanua zaidi, alisema, dini ni utaratibu wa maisha ,mtu anatakiwa toka  asubuhi mpaka anapo lala aishi katika utaratibu huo, sio kuswali tu, mtu akiishi nje ya utaratibu wa huu wa kiislaam atakua  si mwislaam, kwani mungu alikwisha sema katika surat Al Imraan 3:85:  Mtu ataefuata utaratibu mwengine usio wa uislaam  hatakubaliwa matendo yake na siku ya siku ya Qiama atakua ni katika wataopata khasara…. Aliwaasa waumini, ili kuweza kupata mafanikio ni lazima tufuate maamrisho aliokuja nayo mtume (s.a.w.w) yaliyo katika uislaam,” ufisadi unaotokea na kutendeka duniani ni kwa sababu ya watu wameacha mafundisho ya uislaam ambao ndio utaratibu anaouridhia  Mwenyezi Mungu.”

DSC025484:Nukta ya nne iliyo katika aya hiyo, Samahat Sheikh alisema “ sifa ya dini/ utaratibu huo, nilazima ushinde dini/ taratibu zote zilizowekwa na binaadam, na hiyo ni bishara kwa waislaam, kua uislaam utashinda dini zote, ipo siku waislaam watakuja itawala dunia kwa kuwepo na kiongozi Muadilifu nae si mwingine ni Imam Muntadhar Al imam MAHDII A.T.F.S, “Atakaepinga atakuwa anaipinga Qur an maana sawa  kusema kua uislaam hautashinda, na hauwezi kushinda bila ya kiongozi, hilo ni muhali.”

Mwisho Sammahat Sheikh: Aliwataka waumini kushikamana na qur aan , kwani ndio uongofu wa kutopotea, ndio dawa ya maradhi yote ya husda, kibri, choyo, kusengenya ndio tibu ya ufaqiiri, ndio mwombezi siku ya qiama, na ndio itakayo kua shahidi miongoni mwa mashahidi siku ya qiama, aliwaasa waumini kuisoma kwa makini na kuifanyia  kazi, na kutokuicha kuisoma na kupatwa na vumbi, inasikitisha kuona muislaam hajui kuisoma qur aani.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 21, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: