MAKKA: NI MJI WA KUTENGENEZA DINI NA DUNIA

DSC01641

Akihutubia katika swala ya ijumaa, leo katika msikiti wa Ghadiir, uliopo Kigogo Post-Dar es salaam, imam wa msikiti huo, Maulana sheikh Hemedi Jalala alielezea itukufu wa mji wa makkat.akinukuu aya ya qur aan iliyopo katika sura Ibrahiim14 :37, inayosema: ewe mola wetu, hakika mimi, nimewaweka wanangu katika bonde lisilo na mimea mbele ya nyumba yako tukufu ili wasimamishe swala, ewe mola wetu jaalia nyoyo wa watu ziwe za upendo kwao na uwaruzuku matunda tofauti huenda wakawa wenye kukushukuru.”

Akiifafanua aya hyo , Maulana alisema, aya hiyoinaelezea kisa cha Nabii Ibrahiim (as)alipomchukua mtoto wake Ismail (as) na mkewe Bi Haajar na kuwaweka katika katika ardhi ya makkat,katika ardhi iliyo na nyumba takatifu ya alkaabat.” Mwezi huu wa mfungo tatu, waislaam wote walio na uwezo wa kwenda makkat ni lazima kwenda kwa ajili ya ibada  ya kutembelea maeneo matukufu katika ibada hiyo ya  Hijja ambayo chanzo chake ni Nabii Ibrahii (as) na mwanae Ismail na mkewe Bi Hajaar.

Akielezea utukufu wa mji huu, maulana alisema, mji wa makkat, una majina zaidi ya (30) miongoni mwa majina hayo ni Makkat, Bakkat, imam Nawawy alisema:haijawahi kujulikana  mji ulio na majina mengi kuliko mji wa makka na madina ndio sehemu bora katika ardhi duniani kote nailiyo na sifa nyingi, falasafa yake kubwa ni  kuonyesha heshima na utukufu.

DSC02552Imam Jaafar swadiq (as) akiuzungumzia mji wa makkat alisema: katika ardhi inayopendwana mwenyezi Mungu ni ardhi ya makkat, hakuna mchanga, jiwe mti mlima maji yanayopendwa ispokua yale yalio katika ardhi ya makka. “kwanini visipendwe? Wakati nyumba ya mwanzo kujengwa ipo pale? Wakti ndio ardhi ya amani na maelewano? Alihoji maulana. Kama Nabii Musa (as alikuja kwa ajili ya mani, kama Nabii Isa (as) alikuja kwa ajili ya mani, Tunawaambia wakristo kua,uislaa soi tu umeizungumzia amani katika kitabu cha qur aan tu, laa bali kuna hata maeneo/ ardhi umeyaweka mabayo ni ya amani, ambayo ni Makka iliyopo nchini saudia Arabia, ambapo mtu atakapoingia hapo haifai kufanyiwa uadui, mnyama ni haraam kumuua, ndege ni haraam kushambuliwa. Uislaam unafundisha kivitendo watu waishi kwa amani.

Vipi majabali yasiwe matukufu wakati yalikanyangwa na mitume watukufu, nandipo iliposhukiwa na quraan? Vipi mchanga wake usiwe ni mtuku wakati umekenyangwa na mtume mtukufu? Vipo maji yake yasiwe ni matukufu wakati yenyewe yanabaraka na ni ponyo kwa kile utakacho kinuilia?

Hivyo aliwataka mahujjaj wataokwenda kutekeleza ibada hiyo kutambua kuawatakua katika ardhi takatifu, ardhi muhimu mno, mungu anawaaangalia kwa jicho la huruma.wakumbuke kua miongoni mwa majina ya makkat ni Almaad, (qiyama) mji wa qiama, mji wa hesabu, mtu ajihisi kua kama yupo katika siku ya hesabu hasa kwa kuzingatia mavazi aliyovaa, ya shuka mbili nyeupe, kisimamo atakachosimamam Arafat, “mavazi ya aina moja, mataifa nyote mpo , mmesimamam katika kisimamo kimoja, mtakua katika mash ar haraam,muzdalifa mtalala hapo, mkirudi mtakua hamna dhambi utakua kama siku ulio zaliwa.

Akielezea  jina katika majina ya mji wa makkat alisema  ni Aswalaah,kutengeneza,kituo cha kutengeneza  mambo ya waislaam, mambo ya dunia, akitolea mifano kua ni mji wa kutengeneza aliwakumbusha waumini tukio la imam Husein (as) alipotoka kwenda KARBALAA  Iraq, aliondoka madina nakafika Makkat, na akatangaza kua lengo lake ni kutengeneza, katika dini ya mtume (s.a.w.aw) baada ya kuchafuliwa na kuamrisha mema na kukataza maovu. 2:ni ushindi wa makkat, ambaopo mtume (s.a.w.w) baada ya kuifungua Makkat, akatengeneza jamii ya waislaam. 3:kudhihiri kwa imam Mahdi (as) ambapo atdhihiri katika mji wa makkat, kwa ajili ya kuitengeneza dunia baada ya kuenea dhulma na uovu kam ilivyo simuliwa kutoka katika sahihi Tirmidh.

Maulana aliwaasa mahujjaj kua wasidhani hijja ni kuswali na kusoma sana qur aan, laa, ni zaidi ya hivyo bali kuna lengo kubwa amabalo ni kutengeneza , kukutana  mataifa mbalimbali, kubadilishana mawazo, kutatua changamoto zinazo wakabili waislaam duniani,kuzungumzia uchumi namna gani ya kuwasaidia wenzenu walio na maradhi, kubadilishana fursa, za uwekezaji, kielimu, kilimo kisayansi, kuzungumzia amani ya dunia nzima kwa ujumla, kwanini leo kuna makundi ya waislaam wanawaua waislaam na watu wengine wasio na hatia? Na kupanga mikakati ya pamoja jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo. “ nasikitika hayo hayafanyiki kwa wasimamizi wa mji huo kuacha mwenendo wa mtume (s.a.w.w) aliokua aliufanya akiwa katika hijja, kusimama Arafa na kuwahutubia waislaam walio kuwepo hapo. Hata maswahaba walifuata mwenendo huo kwa wao wenyewe au wawakilishi wao kuto khutba siku ya Arafa, nasikitika leo hii hajj anaporudi nchini kwake zawadi anayokuja nayo no kopi moja ya quraan? Laa hii si hijja yenye malengo yale yaliokusudiwa na mwenyezi Mungu na mtume (s.a.w.w).

Mwisho maulana aliwaaasa waumini kua makini na kuienzi amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha  kampeni za uchaguzi, naakawataka watanzania kua makini kusikiliza sera nakuja kufanya  chaguo sahihi, kuepuka mtu ataekuja wagawa watanzania kwa dini , rangi na ukabila, kipaumbele kikuu kiwe ni Am

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 28, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: