Semina ya kujadili amani katika maswala ya uchaguzi

Semina ya kujadili amani katika maswala ya uchaguzi mkuu ujao iliyoandaliwa na Inter-Religious Council for peace Tanzania katika ukumbi SERENA HOTEL DAR ES SALAAM TANZANIA. 13/09/2015

Mkutano wa kujadili amani na maswala ya uchaguzi ulialika wadau mbalimbali wa siasa na taasisi za kidini katika semina tajwa hapo juu, Hawzatul-Imam Swadiq a.s iliyo chini ya maulana Samahat Sheikh Hemed Jalala ilikua moja ya waalikwa katika semina hiyo ambayo alishiriki IGP Ernest Mangu,

DSC04619

 

Mwakilishi wa umoja wa mataifa Alvaro Rodrigues, Msajili wa vyama Judge Francis Matungi na mwenyekiti wa haki za binadamu na utawala bora  ndugu Bahame Tom Mukirya Nyanduga, Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Al-hady Mussa, Sheikh Fadhil Soraga (Katibu wa Mufti Zanzibar)  na wadau wengine kutoka kada mbalimbali na wanazuoni wa elimu ya juu.
DSC04630Ofisi ya maulana Samahat Sheikh Hemed Jalala iliwakilishwa na Sheikh Muhammad Abdi ambae alifanya mahojiano na waandishi wa habari kuzungumzia semina hiyo na kusema:

“Swala la amani ni swala la kitaifa, kila mmoja anadhima ya kulinda na kuienzi amani tuliyonayo, machafuko yakitokea hayatachagua mwanasiasa, sheikh au padre, uchaguzi ni swala la mpito hivyo kipaombele kiwe ni TANZANIA KWANZA, Tusiruhusu kuvuruga amani kwa kigezo cha uchaguzi.”.

DSC04644DSC04643

 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 15, 2015, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: