YAZID BIN MUAWIYAH BIN ABU SUFIYAN (1)

Untitled-1

Babu yake Yazid, Abu Sufiyan ni miongoni mwa wale waliosilimu pasina budi ili kulinda mali zao na maisha yao katika Fat-hu Makka.  Kauli zake zathibitisha wazi kutokumuamini Mtume (s.a.w.w.).  Alimwambia Abbas “O Abbas! Kwa hakika mpwao amepata ufalme mkubwa” Abbas alimjibu “Ole wako! Huu si ufalme!  Huu ni Utume.” Rejea: (Tarekh Yakubi J. 2   Uk. 59.).Baba yake Yazid, Muawiyah ni miongoni mwa wale waliompiga vita Imam Ali (a.s.) katika vita ya Swiffin.  Pia aliamrisha makhatibu kumlaani Imam Ali (a.s.) katika khutba za Ijumaa na Idd kwa muda wa miaka 80. Rejea: (Sahih Muslim J. 4   Uk. 1284 –  1285, na Hayatu Omar bin Abdul aziz Uk. 252.).

Bibi yake Yazid, Hinda ndiye aliyekula Ini la Sayyidina Hamza katika vita vya Uhud.Yazid alifuata nyayo za babu, bibi na baba yake katika imani na matendo.  Nae wazi wazi akiimba mashairi ya  kufru akisema:

Laibat Hashim bil mulki-falaa khabarun ja’a wala wahyun nazal” yaani: Banu Hashim walicheza mchezo wa kupata ufalme: kwa hakika hakukuwa na habari yoyote (kwa Mungu) wala wahyi wowote ulioteremshwa.” Rejea: (Tarekh Tabari J. 13 Uk. 2174.).

Yazid alitangaza wazi wazi kutomuamini Mtume (s.a.w.w.) na ujumbe wake.  Alichezea shere Imani ya siku ya malipo, alidhihaki sala, ulevi ulikuwa kinywaji chake, kamari kwake ni kawaida.  Alikuwa akizini mpaka na mama zake wa kambo na shangazi zake. Rejea: (Maruuju Dhahab J. 3  Uk. 77. na Al-Bidaya wan-nihayah J. 5  Uk. 746.).

Katika kipindi chake Yazid alifanya uharibifu mkubwa katika Dini.  Jeshi lilivamia miji mitukufu ya Makka na Madina.  Aliwaua wasomaji wa Qur’an 700 na pia aliwaua mamia ya Masahaba wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.). Na waliwazini wanawake kwa maelfu na kuuchafua msikiti wa Mtume (s.a.w.w.).  Mji Mtukufu wa Makka ulizingirwa na jeshi la Yazid na moto mkali uliwashwa kwenye             Al-Kaaba na sehemu ya Al- Kaaba kuvunjika. Rejea: (Muruuju Dhahab J.3 Uk.    81.).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 15, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: