Baada ya kuapishwa kushika hatamu za Urais

Baada ya kuapishwa kushika hatamu za Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya Tano, Raisi Joseph Pombe Magufuli @MagufuliJP Ameanza kazi kwa ziara za kushtukiza katika Idara za Serikali, ikiwa na lengo la kuthibitisha kauli mbiu yake ya #HapaKaziTu, Mbali ya kupongeza jitihada hizo, za awali huu ni mfululizo wa Nasaha zetu kutoka katika Kinywa cha Kiongozi wetu wa Kiroho Sayyid Ali Khamenei @khamenei_ir

Leo tuanze na #MAANDALIZI_YA_KIUTAMADUNI_KWA_AJILI_YA_USTAWI_WA_KIUCHUMI:
Ustawi wa kiuchumi kwa maana yake sahihi katika jamii yetu unahitajia juhudi za kiutamduni. Kama mchunguzi na mtafiti wa kielimu hatokuwa na utamaduni wa kupenda kazi, moyo wa uchapaji kazi na mapenzi ya kazi kwa ile namna inayozungumziwa katika mazingira ya utamaduni safi, kuwepo kwa mtafiti huyo hakutokuwa na faida yoyote.
Ufumbuzi wa matatizo unapatikana kwa kutumia vipimo viwili vya “moyo wa kuthamini kazi” na “nidhamu ya kijamii”. “Nidhamu ya kijamii” maana yake ni kuwepo nidhamu maalumu katika mambo yote yanayofanywa na watu wanaoendewa na wananchi. Yaani mlahaka wao na wananchi wanaowaendea uwe ni wa kufuata nidhamu maalumu, na wale watu waliobeba jukumu la kutekeleza kazi fulani wahakikishe nidhamu inatawala katika ufanyaji wa kazi hiyo. Yote hayo ndiyo yatakayoiletea furaha nchi na wananchi na ufanisi wa kazi zao http://ow.ly/UyunF

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 12, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: