TANGAZO LA MSIBA WA MZEE RAMZANALI MUKHTAR WA ARUSHA
Posted by Asadiq Media
TANZIA TANZIA
Kwa masikitiko makubwa na huzuni tumepokea taarifa za msiba wa Mzee wetu Ramzanali Mukhtar Baba yetu na Baba wa Haj Ghulam Hussein Mukhtar wa Arusha. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo 16/04/2016 Saa 11 Jioni Huko Arusha.
Hawzat Imam Swadiq (a.s) chini ya kiongozi wake Maulana Samahat Sheikh Hemed Jalala inatanguliza pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Haj Ghulamu Hussein Mukhtari, Wafanyakazi wote wa Khatamul Anbiyaa na waumini wote wa Arusha.
Huzuni yenu ni huzuni yetu, msiba huu ni wa wote.
Tunamuomba Allah amsamehe Marehemu makosa yake na amfufue na Ahlulbayt watoharifu.
Ofisi ya Maulana Sheikh Hemed Jalala.
Kupitia idara ya Habari na Mawasiliano, Asadiqmedia.
S.L.P 67002, Dar es Salaam.
Email: asadiqmedia@gmail.com
About Asadiq Media
Media for publicise the message of Wilaya under Imam SwadiqPosted on April 16, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.
Leave a comment
Comments 0