LEO HAWZA IMAM SWADIQ (a.s) YAPIMA WATU AFYA BURE

MAULANA SHEIKH HEMEDI JALALA AUNGANA NA WANANCHI KUPIMA AFYA KATIKA KUMUENZI IMAM ALI BIN ABI TALIB (a.s).

Maulana Sheikh Jalala Kiongozi mkuu wa Hawzat Imam Swadiq (a.s) akishirikiana na Serikali ya mtaa wa Kigogo kupitia diwani wa kata hiy, asubuhi ya leo amezindua “program” ya UPIMAJI WA AFYA BURE iliyoandaliwa na Hawzat Imam Swadiq (a.s) kwa kushirikiana na FAZAL FOUNDATION & PAHMEF FOUNDATION.

ma

Huduma hii ni bure kwa wananchi wote bila kuwabagua kwa dini zao, malengo makubwa ni kusaidia jamii ya kibinaadamu ambayo kwa namna moja au nyingine huduma za afya na tiba zimekua ni mzigo mkubwa kwao.

Umepimaji huu katika tarehe kama hizi unalenga kusherehekea mazazi ya Imam Ali (a.s) katika kuihudumia jamii, kwa kuwa Imam Ali ni kiongozi wa binadamu kabla ya uongozi wa waislamu tumeona ni vyema sherehe hizi zikaigusa jamii isiyokua ya kiislamu kwa ajili ya kutengeneza mahusiano ya kibinadamu kwani tunaamini ya kwamba Imam Ali bin Abi Talib ni sauti na kielelezo cha uadilifu wa binadamu wote.

13006541_860174854092511_1097292496445400793_nMaulana Samahat Sheikh Hemedi Jalala alitoa wito kwa watanzania wote kuchunguza afya zao na kujali usafi wa mazingira kwani Zaidi ya 70% ya magonjwa yanasababishwa na uhifadhi mbovu wa takataka.

Mwisho Hawzat Imam Swadiq (a.s) na Masjid Alghadeer inawakaribisha watu wote wakiwemo wakiristo kuja kuusoma uislamu wa mtume, uislamu wa upendo, busara na maelewano kama vile ambavyo mwanafunzi mkubwa wa mtume, Imam Ali anavyousia juu ya maingiliano mema baina ya binadamu wote.

Maulana Sheikh Hemedi Jalala katika siku ya rasmi ya mazazi ya Imam Ali (a.s ) alisema:

“Sababu kubwa na ya msingi kabisa ambayo inaweza kumfanya kila binadamu kusherehekea, kuhuisha na kukumbuka mazazi ya Kiongozi huyu ni kuwa yeye ni Kilele na kioo cha uadilifu, ni kilele na kiigizo cha uadilifu wa binadamu cha kuigwa katika utawala bora wa haki na sharia. Kwa msingi huu dunia ya sasa na ya baadae itaendelea kumkumbuka Imam Ali (a.s) kwa kuwa ni mfano katika kusimamia misingi ya haki na utawala bora kwa binadamu wote bila kuwatofautisha kwa misingi ya rangi, kabila na hata dini zao. Jamii ya sasa imekumbwa na maradhi makubwa ya ufisadi na wizi, ukeukwaji wa sharia na haki za kibidamu na mbaya Zaidi kufikia karne hii wanayoiita ya maendeleo katika sayansi na teknolojia kuna watu mpaka sasa tofauti ya rangi ya ngozi na makabila inawaudhi na imekuwa ni ukuta katika kuwatengenisha badala ya kuwaunganishwa kwa msingi mkuu wa ubindamu. Mafunzo ya Imam Ali (a.s) yanahitajika katika kutibu maradhi haya. Katika karne ya sasa natoa wito watu waisome serikali ya Ali bin Abi Talib ilikua vipi, serikali hiyo adilifu inayoakisi utawala wa kimungu na mafunzo ya Mtume wa mwisho aliyoiongoza imam Ali ilifundisha magavana, maliwali na mawaziri ya kuwa watu manaokwenda kuwaongoza ni wa aina mbili, imma ndugu yako katika dini au mwenzako katika ubinadamu.”

13083087_860173920759271_3702960448788033783_n 11416422_860174120759251_1577239874271058426_o 13076838_860174220759241_367822085900230955_n

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on April 23, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: