SAMAHAT SHEIKH MUHAMMAD ABDI MGENI RASMI KATIKA MAONYESHO YA UJASIRIAMALI MOROGORO

‎UISLAMU NA JAMII‬

Samahat Sheikh Muhammad Abdi Naibu kiongozi wa Maulana Sheikh Hemed Jalala kutoka Hawza Imam Swadiq (a.s), leo amekua mgeni rasmi katika maonyesho ya ujasiria mali yaliyofanyika morogoro.13087602_860336357409694_8677859089637299047_n

Maonyesho hayo yameandaliwa na umoja wa wajasiriamali wenye malengo ya kujiajiri na kutatua changamoto za ajira. Maonyesho hayo yalibeba bidhaa nyingi ambazo zimetengenezwa kwa mkono na wajasiriamali hao.

Samahat Sheikh Muhammad Abdi alipita katika mabanda yote na kujionea kazi nzuri na yakupigiwa mfano iliyofanywa kwa ubunifu na ustadi mkubwa. Sheikh katika mazungumzo yake ametoa wito kwa serikali pamoja na wadau mbalimbali kuwekeza juhudi za makusudi katika kuwasaidia wajasiriamali wadogowadogo kwa malengo ya kutatua changamoto ya ajira katika Taifa na hatimae kukuza kipato cha nchi na wananchi.

Samahat Sheikh Muhammad Abdi alisikiliza changamoto zao na kuahidi kuwa uongozi wa Hawza Imam Swadiq utajiribu kuangalia kipi kiko ndani ya uwezo ili kushiriki nao katika shughuli hizo za kimaendeleo
Mwisho Sheikh aliwasihi waongeze juhudi katika uzalishaji na utafutaji wa masoko ili kuhakikisha bidhaa wanazotengeneza zinakua ni sababu ya kuwakwamua kiuchumi.

13076622_860336550743008_6429860793623274881_n 13076629_860336384076358_6083868600075632004_n 13083378_860336677409662_146706509931820040_n 13094368_860336427409687_2343949518144142989_n 13012660_860336764076320_432434635640972677_n 13043442_860336280743035_1880702122229871385_n

asadiqmedia, Hawzat Imam Swadiq ( a.s ).

Email: asadiqmedia@gmail.com

Facebook :https://www.facebook.com/SheikhHemediJalala/

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on April 23, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: