KUMBUKUMBU YA KIFO CHA AYATOLLAH ‪IMAM KHOMEIN‬ (R)

Hawza Imam Swadiq (a.s) chini ya kiongozi wake Maulana Sheikh Hemedi Jalala imeungana na wapenda haki duniani katika maadhimisho ya 27 ya kumbukumbu ya kifo cha imam Khomein (r). Kumbukumbu hiyo imefanyika katika ukumbi wa Mambara ya KSIJ Dar es Salaam ambapo wamehudhuria watu mashuhiri wengi akiwemo Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Musabbah Shaaban, makamu wa balozi wa Iran sambamba na Naibu mkuu wa Maulana Sheikh Hemedi Jalala, Samahat Sheikh Muhammad Abdi.no media

DSC00786
Hotuba mbalimbali zimezungumzwa katika kuielezea shakhsiya ya Imam Khomein na umuhimu wa kumbukumbu hiyo katika kuzipa sauti za wanyonge na waliodhulumiwa duniani.
“Kumkumbuka imam Khomein ni chachu ya kupanua fikra kutokana na mafunzo makubwa aliyoyavumbua katika umma wa kiislamu ambayo yaliweza kutanua fikra za binadamu na kuleta mageuzi ya kifikra katika ulimwengu wa kiislamu katika Nyanja za kiutawala, siyasa na uchumi huru wa Muqawama unaozingatia mgawanyo mzuri wa rasilimali kwaajili ya kuhudumia ulimwengu mzima wa kibinadamu” moja ya maneno ya Samahat Sheikh Muhammad Abdi

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 3, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: