HAWZA IMAM SWADIQ (a.s) YAALIKA KAMATI YA AMANI KATIKA FUTARI

HAWZA IMAM SWADIQ (a.s) CHINI YA KIONGOZI WAKE MAULANA SHEIKH HEMEDI JALALA YAALIKA KAMATI YA AMANI, WAWAKILISHI WA MAKUNDI MAALUMU NA VIONGOZI WA KISERIKALI KATIKA FUTARI YA PAMOJA.

Hawza Imam Swadiq (a.s) chini ya kiongozi wake Maulana Sheikh Hemedi Jalala imeandaa futari ya pamoja iliyohusisha Kamati ya amani ya mkoa wa Dar es Salaam ambayo iko chini ya uongozi wa mwenyekiti wake Samahat Sheikh Alhady Mussa Salim (sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam), Kamati hii inajumuisha viongozi wa dini mbalimbali ndani ya mkoa wa Dar es Salaam, Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Viongozi wa dini pamoja na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ambao hawamo katika kamati ya amani sambamba na viongozi wa serikali na mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.DSC_0654.JPG

Pamoja na hao waliohudhuria pia walikuwemo wawakilishi wa makundi maalumu ya wajane na viongozi wa taasisi za wanawake za dini mbalimbali nchini.
Ujumbe na kauli mbiu iliyotolewa na Ofisi ya kiongozi mkuu wa huduma za imam Swadiq (a.s) na kiongozi wa chuo cha dini ya kiislamu Hawza Imam Swadiq (a.s) Maulana Sheikh Hemedi Jalala, ulisomeka ya kwamba “KUIENZI AMANI YA NCHI NI JUKUMU LA KILA RAIA MZALENDO NA NDIO MAFUNZO YA UISLAMU”.

DSC_0635.JPGSala ya jamaa ilisaliwa Masjid Alghadiir, Sala hiyo iliongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Samahat Sheikh Alhadi Mussa. Hili ni darasa juu ya umoja baina ya madhehebu za kiislamu Tanzania ya kwamba waislamu wa madhehebu tofauti wanaweza kusali pamoja na mmoja akawa imam ilihali mwingine akawa maamuma akisali nyuma ya mwenzake.

SDSC_0692.JPGhauku yetu kubwa ni kuiona Tanzania ya amani, maelewano na masikilizano pamoja na kuwepo tofauti za kiitikadi na mitazamo ambayo ndio asili ya maumbile,tofauti hizi sio sababu ya kututenganisha wala kamwe si sababu ya kutugawa, kwani tunaunganishwa kwa msingi mkuu wa ubinadamu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 11, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: