WASIA WA IMAM JAAFAR SWADIQ (a.s) KWA WAFUNGAJI
Maulana Samahat Sheikh Hemedi Jalala anaendesha Darasa za mwezi wa Ramadhani, SwadiqMedia inawakaribisha na kuwaalika katika darasa mbalimbali zinazoendelea hapa Masjid Alghadiir.
Baada ya sala ya adhuhuri kuna darasa za Wasia wa Imam Jaafar Swadiq (a.s) kwa wafungaji ambayo inatolewa na Maulana Samahat Sheikh Hemedi Jalala.
Posted on June 12, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.
Leave a comment
Comments 0