MWALIKO WA FUTARI YA PAMOJA NA NDUGU ZETU ‪#‎WENYE_ULEMAVU_WA_NGOZI‬ MASJID ALGHADIIR KIGOGO POST DAR ES SALAAM

Hawza Imam Swadiq (a.s) chini ya kiongozi wake Maulana Samahat Sheikh Hemedi Jalala inawaalika waumini wote, wakaazi wote wa kata ya Kigogo na maeneo yote ya jirani na msikiti wa Alghadiir kushiriki pamoja nasi katika futari maalumu itakayotukushanya pamoja na ndugu zetu wenye ‪#‎ULEMAVU_WA_NGOZI‬.
IMG-20160307-WA0021
Ratiba itaanza saa 11:00 jioni leo Jumatano tarehe 22/06/2016 Hapa Msikiti wa Ghadiir Kigogo Post Dar es Salaam Tanzania.
Kufika kwako ndio kufanikisha shughuli hii, njoo ungana nasi kusambaza ujumbe wa mapenzi, maelewano na utu ili kupigania heshima ya ubinadamu inayovunjwa na wasio na utu. Mwezi mtukufu wa Ramadhani uwe ni mwezi wa huruma, mapenzi na kutatua shida za watu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 22, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: