Zakat Al-Fitra

20160704015128

ZAKAT AL-FITRAH
Zakat Al-Fitra ni sadaka inayotolewa kwa maskini mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mtu lazima atoe zakat al-Fitra kwa niaba yake mwenyewe na kwa niaba ya kila mtu anayemtegemea kama vile mke na watoto wake. Kiasi cha zakat al-fitra ni kilo tatu ya chakula.

Zakat al-fitra inajumuisha nini?

Zakat al-fitra inaweza kuwa Ngano, Shayiri, Tende, Zabibu, Mahindi, Mchele na chakula kingine cha mfano huo. Pia inatosha kutoa thamani ya Fedha kwa vyakula hivyo.

Kama mtu ni mgeni wa mtu mwingine usiku kabla ya Iddi Al-Fitr na yeye (Mgeni) alilala nyumbani kwa mwenyeji (Mwenye Nyumba) Basi ni wajibu kwa Menyeji (Mwenye Nyumba) kumtolea Zakatul Fitra al-fitra kwa niaba mgeni yake.

Kipaumbele katika kutoa zakat al-fitra ni kuwapa watu maskini wa Kiislamu katika eneo analoishi mtoaji.

Ni kinyume cha sheria za dini kwa mtu ambaye ni wa ukoo Hashim (Ukoo wa Mtume) kuchukua zakat al-fitra kutoka kwa mtu ambaye si wa ukoo wa Hashim (Ukoo wa Mtume).

Ni nani anapaswa kutoa Zakat al-fitra?

1)    Yule aliyefikia umri wa Kisharia kutekeleza majukumu ya kidini

2)    Yule aliye Huru na si mtumwa

3)    Yule mwenye uwezo wa kutoa

Ili kutoa Zaka al-fitra, mtu lazima kutimiza masharti hayo usiku kabla ya Iddi     Al-Fitra.

Kuna kipindi maalumu ambacho ni lazima mtu kutoa Zaka al-fitra: Kutoka jua linapozama siku ya mwisho ya Ramadhani mpaka linapochomoza (muda kwa ajili ya swala ya mchana) ya Iddi.

Kama mtu anataka kuswali swala ya Iddi, kama tahadhari ni wajibu atoe zakat        al-Fitra kabla ya Swala ya Iddi.

Imetafsriwa: AbuuJawad

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 4, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: