ZAKAT AL-FITRAH

20160704015128

Zakat Al-Fitra ni sadaka inayotolewa kwa maskini mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mtu lazima atoe zakat al-Fitra kwa niaba yake mwenyewe na kwa niaba ya kila mtu anayemtegemea kama vile mke na watoto wake. Kiasi cha zakat al-fitra ni kilo tatu ya chakula.

Zakat al-fitra inajumuisha nini?

Zakat al-fitra inaweza kuwa Ngano, Shayiri, Tende, Zabibu, Mahindi, Mchele na chakula kingine cha mfano huo. Pia inatosha kutoa thamani ya Fedha kwa vyakula hivyo.

Kama mtu ni mgeni wa mtu mwingine usiku kabla ya Iddi Al-Fitr na yeye (Mgeni) alilala nyumbani kwa mwenyeji (Mwenye Nyumba) Basi ni wajibu kwa Menyeji (Mwenye Nyumba) kumtolea Zakatul Fitra al-fitra kwa niaba mgeni yake.

Nani anapewa Zakat al-Fitra?

Kipaumbele katika kutoa zakat al-fitra ni kuwapa watu Mafakiri, Maskini wa Kiislamu katika eneo analoishi mtoaji. (Fakiri ni mtu ambaye hana uwezo wa kugharamia mahitaji yake na ya walio chini ya utegemezi wake kwa mwaka mmoja mzima, wala hana njia ya kupata riziki kwa ajili yake mwenyewe na wanaomtegemea.)

Ni kinyume cha sheria za dini kwa mtu ambaye ni wa ukoo Hashim (Ukoo wa Mtume) kuchukua Zakat al-fitra kutoka kwa mtu ambaye si wa ukoo wa Hashim (Ukoo wa Mtume).

Ni nani anapaswa kutoa Zakat al-fitra?

1)    Awe na umri wa Kisharia kutekeleza majukumu ya kidini

2)    Awe aliye Huru na si mtumwa

3)    Awe mwenye uwezo wa kutoa

4)    Asiwe Masikini, wala Mwenyekuhitaji Msaada,

5)    Awe Mwenye fahamu timamu.

Ili kutoa Zaka al-fitra, mtu lazima kutimiza masharti hayo usiku wa kuamkia siku Iddi Al-Fitra.

Wakati gani wa kutoa Zakatul Fitra?

Kwa wale ambao wanaswali Sala ya Iddi, ni Wajibu wa Tahadhari kutoa Fitrah kabla ya sala ya Iddi na kwa wale wasio swali Sala ya Iddi watoe zaka kabla ya Adhuhuri.

Imetafsriwa: AbuuJawad

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on July 4, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: