MATEMBEZI YA ASHURAA SEHEMU YA KWANZA 2015
Maulana Samahat Sheikh Hemed Jalala amefungua matembezi kwa kusoma msiba wa imam Hussein baada ya hapo alifanya maongezi na vyombo vya habari, na kusema yafuatayo:
“Hii huzuni mnayoiona kwenye nyuso zetu, huu weusi tuliouvaa kwenye mavazi yetu, hali ya majonzi ambayo mikono yetu, vichwa vyetu, vichwa vyetu na ukiangalia hisia zetu utaona tunahuzuni kubwa , hii ni kwa sababu ya msiba wa kutisha ambao ulimkumba mjukuu wa mtume aliyejulikana kwa jina la Imam Hussein.LAKINI HUYU NI MJUKUU WA MTUME, NINI KIMETUFANYA TUMUHUZUNIKIE YEYE KWA KIWANGO HICHI NA HATA KUFANYA MATEMBEZI HALI TUKIJUA BABU YAKE (IMAM HUSSEIN) MTUME S.A.W.W ALIKUFA, BABA YAKE NA MAMA YAKE BIBI FATIMA A.S PIA ALIUAWA NAMASWAHABA WENGINE WENGI TU WALIUAWA? Kubwa ni ujumbe alioubeba Imam Hussein na kutoka nao kuelekea ardhi ya karbalaa na kuuawawa kwaajili yake. Ujumbe huo NI UJUMBE WA UWANAADAM, ukijaribu kulisoma tukio la karbalaa utaona tukio hilo lilikua katika kipindi ambacho UWANADAMU ulikosekana, Kutoka kwake ni kwaajili ya KUURUDISHA UBINADAMU na kuiambia dunia ya kwamba BINADAMU ANASTAHILI HESHIMA NA ANAHAKI YA KUISHI.
Imama Hussein anahitajika mno katika dunia hii hususan Tanzania hasa katika kipindi hichi cha UCHAGUZI MKUU WA NCHI,kwa kuwa ujumbe wa Imam Hussein ni ujumbe juu ya ubinadamu na Amani, Hivyo kupitia mafunzo ya Imam Hussein Tunataka uchaguzi huu pia uwe ni wa amani ili TANZANIA IBAKIE KUWA NI KISIWA CHA AMANI, Kisiwa ambacho watu hawabaguani na wanaheshimiana.
Ukimsoma Imam Hussein utaona Ujumbe wake ulikuwa juu ya ubinadamu wote na ndipo utapata moja ya watu walokuwepo kumtetea Imam Hussein WALIKUA NI WAKIRISTO AKINA JOHN MWAAFRIKA ambae alikuja kuupigania ubinadamu bila kujali dini na rangi yake“

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 4, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: