Sehemu ya khutba ya ijumaa 02/10/2015 sehemu ya 01

Maulana Sheikh Hemed jalala alianza kwa kuzungumzia Hijja na utukufu wa ardhi ya makka na historia fupi juu upatikanaji wa Alkaaba na tukio la kuamrishwa Ibrahim kumchinja mwanae Ismail, Maulana Sheikh Hemed Jalala alielezea kuwa moja ya Majina ya makka na kusema “Wanahistoria wameandika majina mengi kuhusu makka na yote hii ni kuonyesha utukufu wa ardhi hiyo, moja ya majina yake ni “AL-ISLAH” ikimaanisha kutengeneza na kufanya vizuri, HIVYO M/MUNGU AMEWAWEKEA WAISLAMU MJI MAALUMU AMBAO NDIO MJI WA KUTENGENEZA MAMBO YAO, KWA MAANA NYINGINE NI KUWA WAISLA MU WAMEWEKEWA OFISI YA AMBAYO NI MAKKATAL MUKARRAMA, ambayo makka hiyo ikiwekewa msikiti ambao ndio nyumba ya kwanza ya Allah ya kwanza kujengwa duniani, Mji huu ni mako makuu ya waislamu, malengo makuu ya kuwekewa makao makuu waislamu ni kutengeneza mambo yao na ndipo mafundisho ya Mtume na maimamu yanasema “Uislamu utabaki maadamu Alkaaba itabakia”  ikimaanisha ya kwamba UISLAMU UTABAKI IKIWA UTAKUA NA MAKAO MAKUU YA KUENDESHA MAMBO YAO”.

Aliongeza na kusema kuwa “Mtume Ibrahim a.s alipafanya Makka kuwa ni Haram (mahali patukufu na amani), mahali ambapo mtu haruhusiwi kukata mti na hata kuwinda mnyama, na Zaidi ya hivyo hata mnyama aliyewindwa nje ya maka haifai kuja kumchinjia pale (katika mwezi wa hijja) lakini mtume s.a.w.w haukuishia na kupafanya maka tu kuwa ndio mahali pa Amani bali aliifanya madina pia kuwa ni haram na mahala paa Amani na mtakatifu, hivyo maka na madina ni sehemu mbili za makao makuu yenu kwaajili ya kutengeneza mambo yenu. Leo wacha tuseme pasina ya kufichaficha ya kwamba BALAA KUBWA LILILOWAKUMBA WAISLAMU NI KUPATA WASIMAMIZI WA SEHEMU HIZI KUWA NI FAMILIA YA AL SAUDI ILIYOUNGANA NA WAFUASI NA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDUL WAHAB NA WAKAWA SAMBAMBA KATIKA KUTENGENEZA SERIKALI YA SAUDI ARABIA. HIVYO NI SERIKALI YA KIWAHABI, YENYE AKIDA (ITIKADI ZA KIWAHABI) INAYOENDESHWA KIFALME NA KIKUNDI CHA WATU FULANI, HAWA NDIO WASIMAMIZI WA MIJI HII MITAKATIFU ”.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 4, 2016, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: