Utukufu wa kumtembelea (ziara) Binti Fatima Masuma (A).

photo_2016-08-05_15-54-07

Zip hadithi nyingi kutoka kwa Maimamu (A) kuhusu faida na malipo kwa wale ambao hufanya ziara kwa binti huyu mtukufu, baadhi ya Riwaya (Hadithi) hizo zimetajwa hapa chini:

  1. Imam Swadiq (A) amesema: “Binti kutoka kwa watoto wangu, kwa jina la Fatima atazikwa katika mji wa Qum. Yeyote atakayezuru [kaburi] lake, bila ya shaka ataingia peponi.” [102]
  2. Imam Swadiq (A) pia amesema: “Hakika ziara ya kumtembelea (Binti Masuma) ina malipo ya pepo” [103]
  3. Sa`d bin Sa`d al-Ash`ari anasimulia; “Mimi nilimuuliza Imamu Ridhaa (A) kuhusu malipo (tuzo) kwa Mwenye kumzuru Binti Fatima Masuma (A), Imamu alijibu “Yeyote atakayefanya ziara kwenye [kaburi] lake, malipo yake yatakuwa ni pepo.” [104]
  4. Imam Ridhaa (A) pia alisema: “Yeyote atakayezuru [kaburi la Binti Masuma], wakati akijua na kuwa na ufahamu wa hadhi yake tukufu, malipo yake kwa hilo itakuwa ni pepo.” [105]
  5. “Yeyote atakayemtembelea (ziara) Masuma katika mji wa Qum, ni kama amenitembelea mimi” pia alisema: “Yeyote atakayemtembelea (ziara) Masuma katika mji wa Qum, ni kama amenitembelea mimi.” [106]

Na Imam Ridhaa (A) pia alisema: “Tambua kuwa, yeyote anayenitembelea (Ziara) akiwa katika hali ya Tohara [baada ya kuoga], atatoka katika Madhambi yote akiwa msafi [ametakasika na dhambi], kana kwamba amezaliwa upya kutokana na mama yake.” [107]

Hivyo basi, hilo linamaanisha kwamba usafi huo pia unapatikana kwa kufanya ziara kwa Binti Fatimah Masuma (A) pia.

  1. Mtu mmoja alikwenda kufanya ziara kwa Imamu Ridhaa (A) na baada ya kumaliza ziara akaamua kwenda Karbala. Akiwa njiani akamuona Imam Ridhaa (A) katika ndoto. Imamu (A) akamwambia, “Kwanini pia hukupita mji wa Qum na kufanya ziara katika kaburi la dada yangu? (Binti Masuma)” [108]
  2. Mulla Haydar Khansari- anasimulia hadithi ya Imamu Ridhaa (A) “Yeyote atakayeshindwa kunitembelea mimi, Basi amtembelee ndugu yangu huko Ray [Swahaba mtuku Hamza, amezikwa karibu na `Abdlaim] au amtembelee dada yangu [Binti Fatimah Masuma (A)] huko katika mji wa Qum. Atapata Malipo (Thawabu) sawa sawa kama vile amenitembelea mimi” [109]
  3. Imam Muhammad Taqi Jawad (A) amesema:“Yeyote atakaye mtembelea shangazi yangu [Binti Fatimah Masuma (A)] katika Mji wa Qum, ataingia Peponi” [110]

Kutokana na Hadithi hizi tunaweza kuona kuwa Malipo makubwa yaliyoelezwa na Maimamu watatu (A) kwa tendo la kumtembelea (kumzuru) Binti huyu mtukufu.

Jambo moja la kuvutia zaidi ni kwamba, katika hadithi ya Tano (5) hapo juu, Imam Ridhsa (A) amefanya kuwa sawa Thawabu na Malipo ya Kumtembelea Binti mtukufu Fatima Masuma na Ziara ya kwenye Kaburi lake.

Inapendeza pia kulinganisha hadithi hizi na hii ifuatayo; Imam Swadiq (A) aliulizwa, Ni yapi malipo (Thawabu) ya mtu anayemtembelea (Ziara) moja ya Maimamu watoharifu? Imamu (A) alijibu: (Malipo yake) Ni kama amemtembelea Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww).” [111]

Rejea

[102] Biha-r al-Anwa-r, vol. 48, p. 317; vol. 60, p. 216 & vol. 102, p. 266.
[103] Ibid., Vol. 60, p. 219.
[104] `Uyu-n Akhba-r al-Rida-, vol. 2, p. 267.
[105] Biha-r al-Anwa-r, vol. 48, p. 317.
[106] Na-Kalasinga al-Tawa-ri-kh, vol. 3, p. 68; Raya-hi-n al-Shari-`a, vol. 5, p. 35.
[107] `Uyu-n Akhba-r al-Rida-, vol. 2, p. 260.
[108] Anwa-r al-Masha`sha`i-n, vol. 1, p. 212.
[109] Mulla- Haydar Khwa-nsa-ri-, Zubdat al-Tasa-ni-f, vol. 6, p. 159.
[110] Biha-r al-Anwa-r, vol. 102, p. 265.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 5, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: