Imam Taqi (as): Usimuogope yeyote zaidi ya Mwenyezi Mungu.

Imam Taqi (as): Usimuogope yeyote zaidi ya Mwenyezi Mungu.

Dont fear anyoneHadithi ya siku ya mwanzo ya  Mfalme Maamun kukutana na Mtoto mdogo wa Imam Rida (as) ni kisa chenye kuvutia sana. Siku moja Imam wetu wa Tisa Imam Taqi wakati akiwa mtoto mdogo wa miaka Tisa, alikuwa akitembea katika mitaa ya Baghdad, ghafla msafara wa Maamun Rashid na wanajeshi wake ukatokea.

Watoto wote waliokuwepo hapo walianza kukimbia kwa kuogopa jeshi la mfalme lakini mtoto huyu Imam Taqi hakuondoka.

Alipoliona hilo Maamun Rashidi akaamuru msafara wake usimame na kisha akamuuliza Mtoto huyu “Wewe kijana kwanini hukukimbia kama watoto wengine?”
Imam Taqi (as) Mtoto akajibu kwa kujiamini kabisa, “Sina kosa nililofanya, wala sijakuzuia njia wewe kupita. Kwanini basi nikimbie au kuogopa? Na pia natambua kuwa huweza kufanya fujo yoyote wakati njia yako hakuna aliyeizuia”
Mamun al-Rashid alishangazwa sana na aina ya majibu ya kujiamini aliyoyatoa mtoto huyu na akamuuliza, “Unaitwa nani?” “Mohammad,” ndio jibu alilopewa. Wewe mtoto wa nani? aliuliza Mamun al-Rashid. “Mtoto wa Imam Ali Rida (as).”

Mamun al-Rashid akaendelea na msafara wake. Wakati akiwa anawinda Kipanga wake alirudi akiwa amewinda Samaki katika mdomo wake. Mamun Rashid alishangaa. Kisha akarejea mjini. Kwa mara nyingine, akawapata watoto wale wale wangali wakicheza barabarani sehemu ile ile, watoto walipowaona tena wanajeshi wa mfalme wakakimbia isipokuwa kijana huyu ambaye alisema yeye ni Mohammad mtoto wa Imam Ali Ridha (as) alibakia amesimama pale alipokuwa.

Mamun Rashid akamficha yule samaki kwenye kiganja chake, akasimamisha msafara wake karibu kabisa na  Imam Taqi (as) na kisha akamuuliza, “Niambie nimeficha nini katika kiganja changu?”

Imam Taqi (as) akamjibu, “Mwenyezi Mungu Mtukufu ameumba samaki wadogo sana waishio katika mto. Kipanga wa Mfalme mara nyingine huwashika samaki hao huko mtoni na kumletea mfalme, kisha huwaficha katika kiganja chake na kumuuliza mmoja wa watu wa nyumba tukufu ya mtume, “Niambie nimeficha nini katika kiganja change”

Mamun al-Rashid akasema, “Hakika, wewe ni mtoto stahiki wa Imam Ali Rida (as). Mamun Rashid akamchukua Imam Taqi (mtoto) pamoja nae na akamueka aishi katika nyumba iliyokuwa karibu na Kasri lake la kifalme.

Mafunzo:

Usimuogope yeyote au chochote kwani Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu kuliko yeyote na mara zote atakulinda.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 1, 2016, in Habari na Matukio and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: