KWANINI TUNAMKUMBUKA IMAM HUSSEIN KILA MWAKA
Posted by Asadiq Media
Ikiwa ulikua hujui kwanini waislamu duniani wanaadhimisha na kukumbuka tukio la kuuwawa kwa Imam Hussein kila mwaka basi majibu yako katika video hii.
Leo katika ulimwengu na jamii ya waislamu kuna watu wanaojifakharisha kuwa wao wanawatetea maswahaba na kuwahami, wako tayari kusikia makosa yanayonasibishwa kwa mitume lakini hawawezi kuacha masikio yao yakasikia makosa ya maswahaba, ilikuaje pale mtoto wa mtume wao alipochinjwa akiwa ni swahaba na mjukuu wa mtume ambae kila ukiangalia mashariki na magharibi hupati mfano wake? Kwanini wamenyamaza na hawako dhidi ya waliotenda jinai hiyo kubwa ili hali mtume alishaweka kipimo ya kwamba Hassan na Hussein ni mabwana wa vijana wa peponi? Kuna Haja ya kutafakari.
kwa video na mawaidha tembelea :
youtube.com/asadiqmedia
About Asadiq Media
Media for publicise the message of Wilaya under Imam SwadiqPosted on October 16, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.
Leave a comment
Comments 0