KUMBUKUMBU YA IMAM HUSSEIN: UJUMBE WA SHEIKH WA MKOA DAR ES SALAAM

Samahat Sheikh Alhad Mussa, Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam kupitia Bakwata ameshiriki matembezi ya kumbukumbu ya Imam Hussein na kutoa ujumbe juu ya kumbukumbu hiyo na maswala ya umoja na kupinga kukufurishana.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 25, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Shabani Lameck

    Asalaam aleikumu, mi naomba nitoe ushauri tu kama inawezekana naomba kuwekwe Historia ya Mashekh wetu waliotangulia ili vijana tuonakuwa na watakaoja baada yetu wawajue mawazee wtu waliopigania Dini ya Allah mpaka leo hii sisi tunanufaika. Mimi ni msikilizaji mzuri saana wa mawaidha ya Shekhe Jalala niliwahi kukusikia siku moja ulikuwa Tanga ulimuelezea vizuri saaana Almaruhumu Shekh Mohammad Bin Ayoub Rahmatullah Alayhi, na wakati Shekh Jalala yu mdogo ulisema ulikuwa unatamani uje upite njia alizopita Almaruhumu na sasa walilah Hamndu umepita kwa maana nawe unafundisha. Sasa tungekuwa na Historia ya kujitoshleza na Shekh wetu huyu Shekh Mohammad Ayoub ingetusaidia na kutujega saaana na wengine wengi Mashekh waliotangulia Akina Shekh Suleiman Gorogosi, Shekh Mohammad Bakari Alburuhany, Shekh Mohammad Albeidh, Shekh Mufti Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Shekh Khalfan Kiumbe, Shekh Abdulmuhsin Kitumba na wengine wengi tu ingetusaidia saaana walahi. Pamoja na udogo wangu hua namkumbuka saana Almaruhumu Shekh Nurdin Bin Hussein Shadhuly.

    Naomba niishie hapo ila hayo ndo maoni na mchangu wangu

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: