SALAMU ZA CHRISTIMAS KWA NDUGU ZETU WAKRISTO TANZANIA

Chuo cha dini na maarifa ya kiislamu –Hawza Imam Swadiq (a.s) chini ya Kiongozi wake Maulana Sheikh Hemedi Jalala pamoja na msikiti wa Alghadiir ulio Kigogo Post Dar es Salaam Wanapenda kuwapa mkono wa pongezi Wakristo wote Tanzania na dunia nzima kufuatia sherehe yao kubwa ya mazazi ya Yesu (Nabii Issa ) mwana wa Mariam.

krismas-final

Itikadi yetu ni kwamba ninyi ni ndugu zetu na Nabii Issa (a.s) kwetu ni mtume na mama yake kwetu ni mwanamke mtukufu na mtakatifu.  Kwa muktadha huo tunatoa pongezi zetu kwenu huku tukiwatakia sherehe iliyojawa na furaha, amani, utulivu na mahusiano mema ili baada ya hapo tushiriki kuijenga Tanzania yetu sote kwa Pamoja.

“Tusipounganishwa kwa misingi ya dini zetu tutaunganishwa kwa msingi mkuu wa ubinadmu na utaifa wetu”

Maulana Sheikh Jalala,

Kiongozi Mkuu Hawza Imam Swadiq (a.s) na Imam Msikiti wa Alghadiir,

67002, Kigogo Post Dar es Salaam- Tanzania

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on December 24, 2016, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: