Ziara ya Bibi Fatimah Zahra (A.Ş.)

Ziyarah ya Bibi Fatimah Zahra (A.Ş.)

Imepokewa kutoka kwa Bibi Fatimah (A) alisema:

“Baba yangu aliniambia:` yeyote ambaye ataomba kwa niaba yako, Mwenyezi Mungu Mtukufu atamsamehe na kumfanya ujiunge na mimi popote nitakapokuwepo peponi. “

Kwa sababu hii, na kuwanufaisha wasomaji wetu mpenzi tunawawekea Salamu ya kumzuru Bi fatma kwa lugha ya Kiswahili (Hii ni ziara zilizotajwa katika kitabu cha Mafatih Al Jinan):

Kwa jina la Allah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu

Amani iwe juu ya Muhammad na uzao wake

Ee  ambae ulipewa majaribu;

Mwenyezi Mungu aliyekuumba wewe, alikujaribu

wewe kabla ya kuumba (mwili) wako;

akakupata wewe ni mwenye subira  kwa yale ambayo alikujaribu kwayo.

Sisi tunadai kwamba ni wafuasi wako, tunakuamini wewe,  

na (tunaamini) na kuvumilia kila kitu ambacho kimeletwa kwetu na baba yako (amani iwe juu yake na familia yake)

na yaliyoletwa kwetu na mrithi wake.

Kwa hiyo, tunakuomba (kwani sasa tunaamini) utufanye sisi

kujiunga na wawili kati yao ili tuweze kufurahi katika kutakaswa kwa kukufuata wewe.

(Inashauriwa kuongeza hapa kuongeza maneno haya)

Amani iwe juu yako ewe binti wa Mtume wa Mwenyezi Mungu

Amani iwe juu yako ewe binti wa Mtume wa Mwenyezi Mungu

Amani iwe juu yako Ee binti mpendwa wa mtume wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yako  Ee binti wa rafiki wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yako Ee binti wa rafiki wa dhati wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yenu Ee binti wa Muaminiwa (Mjumbe) wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yako Ee binti mbora wa viumbe vya Mwenyezi Mungu

Amani iwe juu yako Ee binti mbora wa Manabii na malaika wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yako Ee binti yake yule ambaye ni bora wa viumbe vyote;

Amani iwe juu yako Ee mke wa rafiki wa Mwenyezi Mungu na bora wa viumbe baada ya Mtume wa Mwenyezi Mungu;

Amani iwe juu yako Ee Mama wa Hassan na Hussain, ambaye ni mabwana wa vijana wa peponi;

Amani iwe juu yako Msema kweli (Mwenye kujitolea) na shahidi;

Amani iwe juu yako Ee Mwaminifu na mwenye kukubalika;

Amani iwe juu yako Ewe mwenye adabu nzuri na uliye Mwema;

Amani iwe juu yako Ewe binadamu huru;

Amani iwe juu yako Ewe Mcha Mungu  na uliye msafi;

Amani iwe juu yako Ee ambaye huzungumza na Malaika, na mwenye ujuzi;

Amani iwe juu yenu Ewe uliyedhulumiwa na kuporwa;

Amani iwe juu yako ewe uliyekandamizwa na kushindwa;

Amani iwe juu yako Ewe Fatima, binti ya Mtume wa Mwenyezi Mungu;

na baraka na huruma ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako na juu ya nafsi yako na mwili;

Nashuhudia kwamba wewe umefariki wakati ukimjua mola wako kikamilifu.

(Pia nashuhudia) kwamba yeyote aliyekuudhi wewe, kamuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani iwe juu yake na familia yake)

Na yule alikuacha wewe, amemuacha Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani iwe juu yake na familia yake)

Na yule aliyekutukuza wewe, amemtukuza Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani iwe juu yake na familia yake)

yeye ambaye amekunyima wewe, amemnyima Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani iwe juu yake na familia yake) (Hii ni) kwa sababu wewe ni “sehemu yake na roho yake ambayo ipo katika sehemu ya upande wake.”

Allah, Mtume wake na manabii wake ni mashahidi wangu kwamba mimi nilimkubali ambaye wewe ulimkubali, na kumkataa yule ambaye ulimkataa;

Ninajitenga kwa Mwenyezi Mungu  na yule am baye ulijitenga naye kwa Mwenyezi Mungu, na ninamfanya adui yangu wale ambao wewe uliwafanya Adui zako, na chuki naye ambaye wewe ulimchukia.

Na Mwenyezi Mungu ni Shahidi bora, na mtarajiwa Mwema, mbora ya watoa malipo, na mwingi wa Malipo.

(Na imekokotezwa kumswalia Mtume na kizazi chake kwa niaba baada ya Ziara hii.)

SIFA NJEMA NI ZA ALLAH BWANA WA WALIMWENGU.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 2, 2017, in Habari na Matukio, Matukio and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: