USIKUBALI KUDHULUMIWA

#Karbalaa_Mwanzo_wa_Ushindi..
Vikao vya darasa zinazopatikana katikaMuhanga wa Imam #Hussein Karbalaa vimefunguliwa rasmi kwa Maulana Sheikh Jalala kuzindua kauli mbiu na kuanza kuifasiri, Je nini Maana ya kukataa udhalili.

maulana 03-01

Sheikh katika kikao cha leo alianza kwa kusoma Quraan An-nissa 97 inayosema :
“Hakika Malaika watawaambia wale ambao wamewafisha nao wamejidhulumu nafsi zao: Mlikuwa vipi? Watasema: Tulikuwa tunaonewa. Watawaambia: Kwani ardhi ya Mwenyezi Mungu haikuwa (pana) na wasaa wa kuhamia humo? Basi hao makaazi yao ni Jahannamu, nayo ni marejeo mabaya kabisa.”

Ayah ii tukufu inainatufunza mambo muhimu ambayo ni Uharamu wa mtu kuwa dhalili, Kukubali udhalili ni kuidhulumu Nafsi yako, Siku zote Mustaqbali wa yeyote atakaekubali udhalili huwa ni mbaya hapa duniani, Makao ya mtu anaekubali udhalili ni motoni na mwisho ni lazima kutauta suluhisho la kukuondoa kwenye udhalili hata kwa kuhama.

Imam Hussein 02-01

 

Ayah ii inaendana kabisa na kauli mbiu yetu inayosema #Karbalaa mwisho wa udhalili mwanzo wa ushindi.
Amani ya Allah iwe juu yako ewe Hussein
#Karbala
#Muharram

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 26, 2017, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: