UZINDUZI: BENDERA YA IMAM HUSSEIN MTAANI KWETU.

Mapema leo Samahat Sheikh Qasim Ruvakure kwa niaba ya Maulana Sheikh Hemedi 02-01Jalala amezindua mradi wa mapinduzi ya fikra wenye jina la “BENDERA YA IMAM HUSSEIN MTAANI KWETU” ambayo imesambaza vibanda katika vituo vikubwa vya mabasi na dalala kwa lengo la kugawa vipeperushi, maji sambamba na kuelezea ni nani Imam Hussein na k

wanini alitoka kwenda Karbalaa.

Tunagawa maji kama njia nyepesei ya kuonyesha hisi zetu katika kuenzi kiu za mashahidi wa Karbalaa waliouwawa katika jangwa kavu baada ya kuzuiliwa maji walipotoka kuitikia wito wa motto wa mtume na kukataa udhalili, kumpinga kiongozi dhalimu aliyekua akihalalisha haramu na kuharamisha halali za muumba, asiye heshimu haki za watu na mwenye kuua Nafsi bila makosa. Walikwenda kusajili ushindi wa damu dhidi ya upanga na hapo ikawa ndio #Mwanzo_wa_Ushindi na #Mwisho_wa_Udhalili.

Zoezi hili litadumu kwa siku kumi katika maeneo ya Kigogo, Buguruni, Tabata, Magomeni, Mwenge, Gongo lamboto na maeneo mingine.

03

Samahat Sheikh Qasim alisema zoezi hili la kugawa maji linaambatana na uhalisia wa kwamba maji ni uhai,Imam Hussein katika ardhi ya karbalaa alizuiliwa kitu cha msingi sana kwa uhai wa binadamu yeyote,

1-01

Hivyo kugawa kwetu kwa wapita njia wenye kiu ni kujaribu kuenzi tukio chungu la kuzuiliwa maji Mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w.w aliyepigania haki za watu wote na wa dini zote.

Imetolewa na

Asadiqmedia-Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano Ofisi ya Maulana Sheikh Hemedi Jalala.

Hawza Imam Swadiq a.s .

 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 26, 2017, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Mashallah Kila Ardhi ni Karbala na kila Siku ni Ashura, Hongereni Sana AsadiqMedia na mapinduzi ya Tabligh Tanzania.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: