USAFI, MAJIRANI NA HUSSEIN

Maulana Sheikh Hemedi Jalala kiongozi mkuu wa huduma zinazotolewa chini ya Imam Swadiq mapema leo baada ya kupandishwa bendera ya Imam Hussein Masjid Alghadiir

usad=fi-01

ameshiriki zoezi la usafi unaofanywa kama njia ya kuishirikisha jamii ya dini zote katika athari za kumbukumbu ya Muhanga wa Imam Hussein na mashahidi wa Karbalaa pamoja na kuutuma ujumbe makhsusi kwa watu wa dini zote. Kiongozi huyo mbali ya kushiriki usafi amewatembelea majirani

IMG_3498wa kata ya Kigogo na kuwaalika kushiriki matembezi ya Amani ya siku ya Ashuraa kesho 01/10/2017 saa moja asubuhi. Matembezi hayo yataanzia Ilala boma na kuishia viwanja vya wazi Pipo Kigogo.

Usafi mkubwa uliofanywa kata ya Kigogo na wafuasi wa Imam Hussein ukiwa umeambatana na upandishaji wa  bendera ya Imam Hussein bwana wa mashahidi, hapo Masjid Alghadiir ili kuenzi kumbukumbu ya mauaji ya Karbalaa na siku ya Ashuraa

IMG_3546

sambamba na kutembelea majirani ili kukuza mahusiano ni moja ya viashira vya Ushindi na kushindwa udhalili wa uchafu wa mazingira, matabaka katika jamii, Kutojitambua na kil aina ya udhalili. Yote haya yanasema kwa vitendo kuwa Karbalaa mwisho wa udhalili mwanzo wa ushindi.

IMG_3605

Karbalaa ya Imam Hussein haikua ni kisa cha huzuni tu bali ni darasa kamili linalofunza namna ya kuukataa udhalili kwa vitendo na kufikia ushindi wa kudumu, hadhi na heshima.

Ungana nasi katika matembezi kesho asubuhi tumuenzi swahab na mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w.w.

Asadiqmedia,

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 30, 2017, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: