Ghadir: Somo la Umoja katika Uislamu

images
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kiislamu ya Iran Sayyid Ali Khamenei anasema somo muhimu kabisa kwenye tukio la Ghadir ni kuepuka ungano katika ulimwengu wa kiislamu.

“Imam Ali ibn Abi Talib (AS) alikuwa ndiye aliyekuwa mrithi sahihi wa Mtume, lakini alipotambua kuwa kuidai haki yake hii inaweza kuwa na madhara mabaya kwa Uislamu na kusababisha mpasuko, sio tu hakudai lakini pia alishirikiana na wale waliotawala katika dola ya kiislamu… kwa kuwa uislamu unahitaji Umoja” Maneno haya aliyasema kiongozi wa Kiislamu kwa Washerehekeaji siku ya Eid al- Ghadir.

Kwa kumfuata Imam Ali (A.S), leo Taifa la Iran ni mfano wa kuigwa katika kupigania Umoja wa kiislamu ulimwenguni, Kiongozi aliashiria. Akisisitiza umuhimu wa kuwa Macho na mbinu za Adui za kusakmbaza “virusi vya Utengano” baina ya wafuasi wa madhehebu tofauti tofauti ya kiislamu Kiongozi muadhamu aliongeza kusema, “Somo kuu la Ghadir ni kupambana na ain azote za Utengano na kuweka somo hili katika vitendo, Wafuasi wa Uislamu wanapaswa kujiepusha kutukana/kukashifu matukufu yao kwa wao na kuacha kuibua fitina na Mambo yenye kuamsha hisia za chuki.

Na, kama ilivyoelezwa katika ujumbe wa hajj, kwa njia ya uangalifu na umoja, wanapaswa kuwakatisha  tamaa Mataifa yenye kiburi (ngyuvu za kiliberali) na mpango wao wa kutengeneza utengano baina wa kidini na mgongano baina ya Shia na Sunni. ”

Sikuu ya Eid al-Ghadir ni sikukuu ya kukuadhimisha Hotuba ya Mwisho ya Mtume Muhaamad (saw) aliyoitoa huko Ghadir Khum siku ya Dhulhijja 8 katika Mwaka wa 10 Hijiria. Sikukuu hii husherehekewa na Mashia Zaidi ambao huamini kuwa tukio hilo lilikuwa ndio kilele cha uteuzi wa Imamu Ali Ibi Talib (as) kuwa Mrithi wa utawala wa dola ya Kiislamu baada ya Mtume (saw).

Hotuba hiyo ilitolewa na Mtume mbele ya Umati wa Masahaba makumi kwa Maelfu (Wanahistoria wanakadiria walikuwepo watu Zaidi ya waumini 120,000) ya waislamu waliotekeleza ibada ya Hijja.

Katika hotuba hiyo mtume alisema wazi: Yeyote ambaye mimi ni Bwana wake, (basi) Ali ni bwana wake pia, yeye (Ali) ni Khalifa wangu kwenu baada yangu”

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 30, 2018, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: