KIKAO NA WANAHABARI – KUZALIWA SAYYIDNA ALI BIN ABI TALIB.

ImamAli, Newzealand na Wito kwa viongozi wa dini

Mapema leo Maulana Sheikh Hemedi Jalala Imam Masjid Alghadiir na kiongozi wa seminari ya kiislamu ya Imam Swadiq a.s amekutana na wanahabari kutoa salamu kwa waumini na watanzania wote kufuatia sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa Khalifa wa kwanza wa Mtume Muhammad s.a.w.w Imam Ali bin Abi Talib a.s.

Sambamba na salamu hizo Maulana Sheikh Jalala alilaani vikali mauji ya waislamu zaidi ya 50 waliuwawa huko Masjid Noor nchini New Zealand na kusema matukio kama hayo yanatutaka kuwa macho juu ya maswala ya Ugaidi na kwamba Ugaidi hauna dini.

Katika salamu zake Sheikh Jalala alieleza umuhimu wa kumbukumbu hii ya kuzaliwa Imam Ali kama ifuatavyo:

Moja, Kitendo cha kuzaliwa Imam Ali ndani ya kaaba tukufu na kibla cha Waislamu ni dhahiri inatukumbusha utii kwa Allah na kumuabudu ipasavyo na kwamba nyumba hii ilijengwa na Mtume Ibrahim ambae ndie baba wa mitume na Imani inatukumbusha kuwa matendo ya ukarimu yanahusiana na mafunzo ya vitabu vyote vya mbinguni vilivyokuja na mitume ambao wote wanatokana na kizazi cha Mtume Ibrahim kupitia Ismail na Ishaqa.

Pili, Mazazi haya na tukio zima yanapaswa kutukumbusha umuhimu na ulazima wa kufanya kazi kwani nyumba yenyewe aliyezaliwa Imam ambae tunamsherehekea ni zao la kazi ya mikono ya Mtume Ibrahim na Ismail pale walipoijenga na kuwaita watu wamuabudu Allah ndani yake na wapate manufaa yao.

Tatu, Tunakumbushwa Uadilifu, Nyumba hii tukufu ambayo mazazi ya kiongozi huyu yametokea pale ni darasa juu ya Uadilifu, inatukumbusha namna ya kusimamia haki za watu kwani haki si mali ya watu baadhi, hakuna kundi linalohitajia haki zaii ya kundi linguine haki ni kwa viumbe vyote, Imam Ali bin Abi Talib anajulikana kama sauti ya uadilifu wa binadamu iliyokua ikiakisi uadilifu wa mwalimu wake Mtume Muhammad s.a.w.w.

Nne, Somo la Umoja, Kaaba ni kitovu cha ibada za waislamu wote, na kaaba hii ina mahusiano na vitabu vyote vya mbinguni, hivyo kuzaliwa kwa Imam huyu ndani yake inatupelekea kuvika kumbukumbu yake na swala zima la umoja baina ya Waislamu kwanza a kasha umoja wa kibinadamu baina ya watu wa dini mbalimbali.

Mwisho Maulana Sheikh Jalala akatoa wito kwa viongozi wa dini nchini kuwa wajenge nia ya dhati ya kujenga umoja, mshikamano na mapenzi katika jamii ya Watanzania.

Tunawatakia kila kheri katika sherehe hizi adhimu.

Imehaririwa na AsadiqMedia,

Kurugenzi ya habari na Mawasiliano, Ofisi ya Maulana Sheikh Jalala

Dar es Salaam – Tanzania

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 20, 2019, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: