Imam Khomein alisifiwa na Watu maarufu Duniani

Tehran, Juni 4, IRNA – Imam Khomeini, kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu Iran, amesifika na watu maarufu wa kimataifa, Watafiti na Viongizi mahiri wa Ulimwengu.

Uongozi wake wenye nguvu katika kipindi cha miaka ya vuguvugu maarufu ambalo lilisababisha Mapinduzi ya Kiislam mwaka 1979 ikifuatiwa na miaka ya vita kali ya Iraq dhidi ya Iran vilivyoungwa mkono na kufadhiliwa na nchi za Magharibi imemfanya Imam Khomeini kiongozi wa kupigiwa mfano na shakhsiya iliyopata kufanyiwa tafiti nyingi za kijamii na kisiasa.

Maneno mengi na maoni yametolewa na watu tofauti tofauti juu ya njia na mbinu za kiongozi huyu wa Iran mwenye haiba na Mvuto, lakini kati yao baadhi ya maoni yameenea duniani kote, kutokana na ushawishi wa watu maarufu waliomzungumzia.

Kiongozi wa mpambanaji wa ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, aliwahi kusema kuwa Imam Khomeini hakuwa tu kiongozi wa watu wa Irani, lakini alikuwa ni kiongozi wa harakati zote za uhuru na ukombozi duniani kote. Pia alimuelezea kiongozi huyu wa Irani kama mtu aliyekuwa na tabia za kipekee.

Mikhail Sergeyevich Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Umoja wa Sovieti, aliwahi kusema Imam Khomeini aliacha athari kubwa juu ya historia ya ulimwengu kwa kufikiri zaidi ya muda wake na mahali pake.

Mwandishi wa habari wa Misri na mwandishi Mohamed Hassanein Heikal akimuelezea  Imam Khomeini kama risasi ambayo iliyofyetuliwa miaka ya awali ya Uislam na kulenga moyo wa karne ya 20.

Kiongozi wa Cuba Fidel Castro akionyesha ufahari binafsi na kujivuna alipokutana na Imam Khomeini na akasema kuwa alikuwa katika kihistoria kiigizo na kiongozi halisi wa mfano.

Imam Khomeini, amekufa tarehe 3 Juni 1989.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 4, 2019, in Habari na Matukio, Makala and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: