IMAM HUSSEIN NA JAMII

Hawza Imam Swadiq chini ya kiongozi wake Maulana Sheikh Hemedi Jalala imeendelea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kujitolea damu na kutoa misaada ya vifaa hospitali ikiwa ni njia ya kuenzi Muhanga wa Imam Hussein (a.s) ambae alikubali kuuwawa kwaajili ya kutetea utu, Imam Hussein alikubali kufa, wanawe kuchinjwa na watoto zake kuchukuliwa mateka ili kumkomboa mwanadamu.

dsc00302
kuchangia-damuu

Samahat Sheikh Muhammad Abdi naibu wa Maulana Sheikh Hemedi Jalala ameelezea msingi wa sababu za matukio hayo kuwa ni kuenzi zile damu zilizomwagwa kwa dhulma pale karbalaa, tunawaenzi wale watoto wadogo waliouwawa karbalaa pamoja na wanawake waliochukuliwa mateka kwa kutoa damu ili kuoko maisha ya mama na motto ambao wamekua ni wahanga wakubwa wa vifo vinavyotokana na ukosefu au upungufu wa damu.

kuchangia-damuuu
kutoadamu


Wito wetu kwa jamii ni kuwa tukio la karbalaa kamwe halikua ni tukio tu la historia bali ni darsa juu ya kumtumikia mwanadamu, Viwanja vidogo vya ardhi ya karbalaa falsafa yake kubwa ni kuamsha uwelewa na kutanua fikra za mwanadamu kwa ukubwa Zaidi ya dunia, Tunaendelea kuitikia wito wa Imam Hussein na daima bendera yake itaendelea kupepea ili kutangaza haki na kuitengeneza jamii yetu.

AsadiqMedia,
Kitengo cha Habari na mawasiliano Hawza Imam Swadiq (a.s)

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 12, 2019, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: