Makaburi ya Janna-tul-Baqi

Miongoni mwa Makaburi ya Watu wa Nyumba ya Mtume (saw) yaliobakia Jannatul Baqi

Tunatoa Mkono wa rambirambi kwa Mbora wa Mitume Muhammad (saw) na kwa familia yake, pamoja na hujja wa mwisho kwa Mwenyezi mungu Imam wa Zama Al-Hujja bin Al-Askari (Allah aharakishe kiudhihiri kwake) Majonzi kwao kwa Siku hii iliyojaa giza totoro katika historia ya Maisha wa Wanaadamu Siku kama ya leo Tarehe 8 Mwezi wa Shawwal mwaka 1926 pale Makaburi matukufu ya watu wa nyumba ya mtume, Wake zake na Masahaba zake, Makaburi ya Al-Baqii, yaliopo Madinah Al- Munawwarah yalipobomolowe.

Makaburi ya Janna-tul-Baqi, yaliyopo katika mji wa Madina, Saudi Arabia ni miongoni mwa makaburi yenye heshima na kutukuzwa.

Ndani ya Makaburi ya Baqi yapo makaburi matukufu ya; 

* Mwanamke bora wa Peponi Bibi Fatimah Zahraa (SA), mtoto mpendwa wa kike wa pekee wa Mtume Mohammad (P.B.U.H) kwa baadhi ya riwaya.

* Imam Hassan Al-Mujtaba Bin Ali Ibn-e-Abi Talib (as)

* Imam Ali Zaynul Abideen (as)

* Imam Muhammad Baqir (as)

* Imam Jafar Al-Sadiq (as)

* Fatimah Binte Asad (SA), mama wa Imam Ali Ibn-e-Abi Talib (as)

* Ummul Baneen (SA), mke wa Imam Ali (as) na mama wa Abbas Alamdar (as)

Ibrahim (as), mwana wa Mtume (pbuh & hh)

* Safia (RA) na Atika (RA), shangazi za baba za Mtume (pbuh & hh)

* Wake wa Mtume (saw) pamoja na Umm-e-Salma (RA).

* Haleemah-e-Saadia (RA)- Mama mlezi wa Mtume (saw)

* Ghazi aliyejeruhiwa katika vita vya Ohud waliletwa Madina na baadaye akafa


* Abbas (Ra), Mjomba wa Mtume (saw).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 12, 2019, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: