Category Archives: Matukio

USIKU WA KUKUBALIWA MAOMBI (LAYLATUL RAGHAIB)

infograph-laylat-raghaeb

MTUKIO MUHIMU NDANI YA MWEZI WA RAJABU

Mtukio Muhimu ndani ya Mwezi wa Rajabu
 1. Rajab ya 1 (mwaka 57 a.h): Kuzaliwa kwa Imam al- Baker (a.s).

 2. Rajab ya 2 (mwaka 212 a.h): Kuzaliwa kwa Imam al- Hadi (a.s)

 3. Rajab ya 3 (mwaka 254 a.h): Shahada ya Imam al- Hadi (a.s).

 4. Rajab ya 10 (mwaka 195 a.h): kuzaliwa kwa Imam al- Jawad (a.s)

 5. Rajab ya 12 (mwaka 36 a.h): Imam Ali (a.s), ahamishia makao makuu ya dola ya kiislamu Kufa

 6. Rajab ya 13 (Miaka 23 kabla ya Hijira): Kuzaliwa kwa Imam Ali (a.s).

 7. Rajab ya 15 (Mwaka 62 a.h): Shahada ya Sayida Zeinab na kibla cha Waislamu chabadilika kuoka Al Aksa Mosque na kuwa katika Kaaba Msikiti wa Makka.

 8. Rajab ya 12 (Mwaka 42 baada ya Hijira): Kuzaliwa Bi Sukayna, binti wa  Imam Hussein (a.s).

 9. Rajab ya 24 (Miaka 6 baada ya Hijira) Kukombolewa ngome Khaybar.

 10. Rajab ya 25 ( Mwaka 183 baada ya Hijira): Shahada ya Imam al- Kazem (a.s).

 11. Rajab ya 28 (Miaka 60 baada ya Hijira): Imam Hussein, aondoka Maka kuelekea Medina. 

 12. Rajab ya 29: Vita vya Tabouk

 

HISTORIA FUPI YA IMAM MUHAMMAD BAQIR

 

HISTORIA FUPI YA IMAM BAQIR

Jina lake: Muhammad

Wadhifa: Al-Baqir

Kunyat: Abu Jafar

Kuzaliwa: Jumanne Tarehe 1 mwezi wa Rajab 57 (Baada ya Hijira), huko Madina

Jina la Baba yake: Ali ibn Husain

Jina la Mama yake: Fatima binte Hassan

Alifariki: Akiwa na umri wa Miaka 59, Huko Madina, Siku ya jumatatau, Tarehe 7 Dhulhija Mwaka 116 Baada ya Hijjra

Sababu ya Kifo:  Sumu aliyotegewa na Hisham bin Abdul Malik

Kuzikwa: Alizikwa Jannat-ul-Baqi .

Kuzaliwa kwake na Staili ya Maisha yake:

Imam alizaliwa katika mji wa kufa, na kukulia katika mji huo ambao zama hizo ndio uliokuwa makao makuu ya Ushia. Alikuwa ni Mtiifu na mmoja wa watu wa Nyumba tukufu ya Mtume (Ahlulbayt), na aliwapenda sana

Elimu na Maarifa yake ya Sayansi

Alikuwa ni msomi na mwanazuoni mkubwa wa wakati wake. Alisimuliwa hadithi nyingi sana alizopokea kutoka kwa Imam Ali b. al-Husayn, Abu` Ja’far na Abu Abd Allah, rehema za Amani ziwe juu yake. Na wakti wote aliwatanguliza Zaidi Maimamu waliomtangulia.

Imam Abu Ja’far akielezea Maisha ya  Imam Baqir anasema: alikuwa akikaa  katika msikiti mtukufu wa Madina, Akitoa Fatwa kwa watu na akimwambia wanakusanyika katika masomo yake akisema najisikia furaha kuwaona watu kama nyinyi mashie vijana. Imam Baqir alikuwa amebobea Zaidi katika aina tofauti tofauti za Sayansi ya Quraan, Sheria , Hadith Fasihi, Lugha na Nahau

 

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: